Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Mkishakuwa speed sawa hakuna wakumpita mwenzie!Kuna kitu kinaita Horse power mnaweza kuwa sawa Speed bt mwenzio ana horse power kubwa automatical atakupita tuh.
E.G. Ist atembee 80km/r then Altezza atembee speed 80km/r na wote waanze pamoja eneo moja. Unafkir nani atakae mpita mwenzie[emoji1][emoji2][emoji3]
Nawewe umefika katikati ukajikuta hujui [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] labda anamaanisha ile uwezo wa kumpita mtu kirahisi.
Halafu ukikimbia sasa unakuta hata rpm saaana inagusa tu gari inasepa balaa.
Ivo aani gari haisumbui inakubali tu fasta [emoji3061]
Sema na mechanics nyingine za chombo zitaruhusu rpm itafsiriwe kuwa speed mingii kwenye kona unapunguza saana ila
Eeh kwani mi ndo wa kwanza kuishia katikati!?
Sema jamaa anajitutumua na vinyuzi kadhaa vya magari lakini hola..[emoji1][emoji1] Na mimi nilitaka kumwambia akomae na jukwaaa mapenzi tu,huko kwny magari sio mambo yake hayo.
mkiwa speed sawa hakuna namna mmoja atampita mwingine mkuu... bajaji, subaru, yutong, baiskeli, guta, yutong zote zikiwa sawa speed let say 20kph tegemea zote zitafika mbeya au mwanza muda sawa. AsanteKuna kitu kinaita Horse power mnaweza kuwa sawa Speed bt mwenzio ana horse power kubwa automatical atakupita tuh.
E.G. Ist atembee 80km/r then Altezza atembee speed 80km/r na wote waanze pamoja eneo moja. Unafkir nani atakae mpita mwenzie[emoji1][emoji2][emoji3]
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.
Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.
Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.
Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze
View attachment 2521539
kwahiyo unataka kusema speed 100 ya yutong ni kubwa kuliko speed 100 ya ist/passo? nimeelewa sawa mkuu?Mfano bus la yutong au Volvo/Scania makopolo ukiliendesha speed 100 haliwezi kuendana na speed sawa na ist na hata magari mengine[emoji16][emoji16] utapitwa kama umesimama
Wajuvi wenye uzoefu wa magari watakuja kutuelimisha, mimi sio mjuvi mzee baba
kwahiyo unataka kusema speed 100 ya yutong ni kubwa kuliko speed 100 ya ist/passo? nimeelewa sawa mkuu?
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.
Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.
Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.
Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze
View attachment 2521539
Inaonekana hata basic physics tu hajui.ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
SPEED SAWA? HALAFU ANAKUPITA? hahahahs
hamna kitu kama hicho mkuu mbinguni na duniani (jokes), speed 50/100 ya yutong/scania ni speed 50/100 ya kirikuu na passo. ndo maana unaona speed camera (torch) kama ni 50kph zitakamata gari zote bila kujali ukubwa au udogo wa gariKwa uelewa wangu mkuu
Vipi kwa gari ambazo hazina tachometer inakuaje....Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.
Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.
Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.
Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze
View attachment 2521539
Huyu Mnyama Golf 7 na 8 yeye hajui una Rpm sijui horse power ngapi yeye ni kukupita tuu anatembea huyo kwa hizi gari nyingi ukiondoa zile za Racing ni shida sana kumpata Kigali kidogo ila kizito na balance imelala hapo..
Nawaheshimu sana hao Golf R series gari ndogo ila nzito utadhani kimefungwa mawe kwenye chassis na kina balance balaa na pia kinaweza kuwa na kodi ndogo ngoja nikifatilie maana TRA wao wanaamini katika magari yenye majina ndio wanatupiga Kodi kubwa...Niliona video moja juzi benz E class sijui ile inaliwa na hichi kidude nilishangaa jamaa akaononesha ubaoni kinasoma 257kmph[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawaheshimu sana hao Golf R series gari ndogo ila nzito utadhani kimefungwa mawe kwenye chassis na kina balance balaa na pia kinaweza kuwa na kodi ndogo ngoja nikifatilie maana TRA wao wanaamini katika magari yenye majina ndio wanatupia Kodi kubwa...
Vipi vipuri, mafundi na unywaji wa mafuta?Haka kagari kwa ambao hawakajui watakadharau ila nawashauri watu hili ni lichuma la kwenda mbio zipo na balance ikiwa barabarani.