Uwezo wa gari kukimbia angalia RPM sio KMH

Mhhh
RPM vs Speed, vina uhusiano lakini sio kama unavyoeleza
Spidi ni ile ile regardless ya RPM
Isipokuwa RPM inahusianisha spidi na vitu vingine, mfano acceleration, fuel consumption, horse power....
Mfano gari X inaweza kufika speed 100 kwa rpm 2, wakati gari Y unahitaji RPM 2.5 kufika spidi hiyo, lakini zote ni speed 100...
Mada ndefu, nikomee hapo
 
Hiyo telsa itafanya mbwembwe zooote atlast ita chapwa kama imesimama! Inawahi kuchanganya ila top speed ni ndogo kwa huyo mkali wake
 
Kumbe crankshaft kwa kiswahili inaitwa Fito kombo?
Aiseeh
 
130hp then ufike 260Kph..!!!?
Sio rahisi aisee.. Actually Haiwezekani..
Kumbuka IST ina 150hp..

Dashboards zinabandikwa tuu..
518i
520i
525i
530i
535i
540i
Zote dashboard inasoma 260kph..ila hazina uwezo sawa..!
Mkuu, fanya home work yako vizuri
 
Unachokiongea ni kweli kabisa
Ukiona gari ya hp hizo ndogo inafika speed hiyo basi ujue hiyo gari iko tuned
Yaan people don't know how number of gears zina determine engine rpm na top speed attainment.

Hizi gari unazoona zina top speed kubwa huku cc ndogo na horse power ndogo ujue number of gears ni nyingi..mfano most normal automatic cars zipo na gear nne except for cvt cars..pia ujue RPM ya engine vs speed output inaweza visiendane kama kuna shida ya transmission system yako mfano (transmission fluid kuchoka, transmission fluid kutokua sahihi, transmission clutches kuchoka, tire pressure, tire size, weight, terrain) ..so kama gari ina gearbox nzuri, it will always keep the engine at low rpm huku speed ikiwa juu ndo maana Gari yenye CVT transmission utaona rpm inakua chini huku speed ipo juu..mfano. Toyota crown inafika speed ya 100 huku rpm 1.5, wakati speed hii. Kwenye brevis yenye normal ATF transmission ina attain same speed but at higher RPM ie 2.5 RPM...so hapa hata fuel consumption inakua tofauti pia.

Pia why nasema transmission system ina play role kubwa kwenye engine rpm na speed output..ni hvi mfano automatic gearbox zinazotumia fluid..ukiweka fluid isiyo sahih, au fluid imechoka, maana yake inasababisha power loss nyingi kati ya engine na gearbox so engine has to work harder to compensate for power loss inayotokana na transmission system kutofanya kazi vizuri kazi yake...so gari hapa itakua inatembelea kwa rpm ya juu huku speed ikiwa chini..but kwa gari zisizo na power loss kati ya transmission na engine mfano kwa gari za manual, hybrid cars, na cars with DSG (direct shift gearbox) or DCT(dual clutch transmission gearbox), hizi gari gear box hazina power loss yoyote kama clutch zitakuapoa...so hapa rpm itakua chini na attainment ya higher speed inakua ni faster....but shida tu labda gari iwe na low gear gear ratio kama land cruiser hardtop..hii hard top ipo na gear ratio ndogo so gari inatembelea rpm ya juu muda mwingi..

Pia speaking of speed kuna gari zinakua limited kwenye top speed kutoka huko zililotoka kulingana na soko gari inapokwenda..mfano gari nyingi zinazokua designed kutumika soko la japan nyingi uishia speed 180.. but same car iliyo designiwa kutumika soko la ulaya utakutA top speed ni 200+( unakuta vitz ya japan speed ni 180 but same vitz kwa soko la ulayA (kwajina la YARIS but same engine na gearbox inAenda top speed 200... Therefore uki tune gari pia unaweza ukaondoa speed limit na kuvuka top speed ya 180kmh.

Therefore jaman
 
Hata uwe na gia 100..
Huwezi kufika spidi fulani bila HP za kutosha..

Rpms kuwa chini ✅
Top speed attainment❌
Gari ya 6 gears.. Hata kwenye 5th gear ninafika top speed..
Ila top speed kwenye 5th na 6th gear zitapishana rpms..!
6 gear sio inaniongezea speed.. Ni overdrive..!
 
Ni Toyota..
Reliable..
Kaa mbali na 1ZZ engine..
Tafuta 2ZZ engine.. Hii ni combination ya Toyota na Yahama.. Combination yao huwa inatoa engines zenye mlio tamu kwenye masikio..
Ukumbuke kuiendesha umeshusha vioo..
Zz mbona ni engene mbovu sana mzee ni engene flan ndogo naweza kusema hazipushan sana na Az
 
Zz mbona ni engene mbovu sana mzee ni engene flan ndogo naweza kusema hazipushan sana na Az
Yes ni ndogo kwa capacity.. 4 cylinders..ila ipo njema kwenye power..

1ZZ hiyo ndio changamoto..
2ZZ ni bonge ya engine.. ipo vizuri..!

2AZ nayo nje ya kula oil ni engine reliable..
Alphard.. Harrier.. Kluger.. Rav4..
 

Yaani Mjerumani adanganye Umma kuhusu Speed ?
Unadhani wanaonunua haya magari ni Wajinga kama sisi?
Kama hujui hii gari
Ingia Youtube utapata Maarifa ya Kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…