Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Kuna mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa wilaya yanayofabyika Dodoma leo ambapo mgeni rasmi ni Mh. Makamu wa Rais Philip Mpango.
Mafunzo hayo yatatolewa kwa siku sita ambapo yanajumuisha wakuu wa wilaya wapya na wale wa zamani.
Akitoa salam za ofisi yake Mhagama amewaagiza wakuu wa wilaya wakasimamie nidhamu kazini, kupandishwa madaraja kwa watumishi wa umma na kushuhulikia malimbikizo.
Hivi Mhagama anaona watanzania wanaomsikiliza nimazuzuz? Hao wakuu wa wilaya watapandishaje mishahara wakati bajeti mnatengeneza nyie? Malimbikizo unawatuma wakuu wa wilaya wakati unakutana na waziri wa fedha kila wakati. Kwanini usiwaambie hazina?
Nimemchekiiiiiii kisha nikajisemea hivi huyu mwanasiasa anachukuliaje watanzania wenzie?