Uwezo wa Jenista Mhagama unatia mashaka

Uwezo wa Jenista Mhagama unatia mashaka

Nasikia huyu mama ni mloz ile mbaya.Kila anayejitokeza jimboni kwake ,analiwa kichwa.Ni Mwalimu wa shule ya msingi tu .Hana chochote cha zaidi.
Na ndo yeye alikutana na gwiji mwenzie Joseph, alivyo mchokonoa Jose akarudisha pigo, jenista alianguka chooni kwake.

Aliugua kweli, alivyo pona ndo akafanya mpango wagawane jimbo, ndo Jose akachukua upande wa Madaba.

Ana muogopa mno Joseph. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlongo wenu akipita huu uzi anaweza Zimia.
Ila siyo mbaya, 2015 Coca ukagombee aisee
Huko Songea hamnaga watu wengine wasomi?,, [emoji1787]
Wasomi wapo sana, kila wakijitokeza yeye anawapiga kipapai.
Joseph alimshindwa ndo wakagawana jimbo, Joseph akachukua upande wa madaba.

Hapo sahivi rumors zinasema mama majaliwa 2025 naye anagombea, jenister kwa hofu anataka wagawane jimbo, yeye achukue upande wa tarafa ya muhukuru, mama majaliwa achukue upande wa Peramiho.

Kazi ipoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ni kweli basi mganga wake fundi🙌
 
Anachokiweza Jenista ni kuvaa vilemba na kuweka kitenge begani, sijui kwanini asikishonelezee hapo begani kiwe cha kudumu maana anatumia muda mwingi kukiweka sawa kuliko muda wa kazi, na creativity ni 0
Ila watanzania🙌🤣🤣🤣
Mna nongwa na Mama wa watu
 
Ni hodari sana wa kupamba na kusifia walio juu yake na walio madarakani, na ni mtu wa kubadilika haraka sana kulingana na upepo uliopo, yupo kwa ajili ya kutunza na kulinda maslahi ya mtawala/watawala.
 
Back
Top Bottom