Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mconsult Dada Jeny akuonyeshe chimbo za nyanda za juu kusiniMkuu ndumba nitazipataje Ili niwe mbunge wa kupitia bila kupingwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mconsult Dada Jeny akuonyeshe chimbo za nyanda za juu kusiniMkuu ndumba nitazipataje Ili niwe mbunge wa kupitia bila kupingwa?
Hadi Yesu arudiHalafu eti mkuu wa wilaya akafuatilie upandaji wa madaraja na malimbikizo.
Hatari sana
Wakunyuba mwenzangu pole kule kwetu ruvuma sijui Kuna shida gani mimi kwangu namtumbo tulikuwa na yule mtoto wa kawawa yan shida tupu kazi kupiga pesa maendeleo wala hakunaNi mbunge wangu huyu, miaka 20 ya ubunge lakini hakuna anachofanyaa yeye mda wa uchaguzi kugawa tsheti na khanga na kofia,
Yaan songea vijijini, jimbo "peramiho" ni hovyoo tyuuh. Wananchi wanavyo muelewa sasa sijui hata kawapa nn, tena wamemuambia agombee hadi atakapochoka yeye ndo atafute wa kumuachia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangoni tumepatwaa mbona.
Mpe sifa zote!we umeona Sauti tu?Mimi nampenda Ana sauti nyembamba halafu tamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa mganga anae na amshikilie sana.Huyu huwa ni kizibo tu ila ndio yupo hapo sana mganga wake mkali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anasura ya kich......awi hivi, ndiye aliye waunguza watumishi wa Umma kwa kikokotoo cha wastaafu cha 25% ya kiinua mgongo wakati wa The late Dr Magufuli. Ch......awi sana hili na mawigi yake kama manyoya ya mbuzi.
Kazi ipo kwa kweli.khaaaahNdio maana rushwa nchi hii haitakoma bali inazidi kukomaa.
Mtendaji mkuu wa kusimamia TAKUKURU nae anatoa rushwa kumbe,kazi ipo
Msumbiji useme dear. Malawi mbna cha mtoto.Atakuwa na uchawi wa malawi huyu mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni hovyo toka zamani. Siufahamu hata uwezo wake ni kwenye nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sisi Ruvuma viongozi wanajua kupiga pesa tyuuh. Sio kutumikia wananchi, ila mda wa uchaguzi sasa wanavyohonga wananchi kwa tisheti, khanga na kofia. UwiiiiihWakunyuba mwenzangu pole kule kwetu ruvuma sijui Kuna shida gani mimi kwangu namtumbo tulikuwa na yule mtoto wa kawawa yan shida tupu kazi kupiga pesa maendeleo wala hakuna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo katika mawaziri mafundi wa kwenda na upepo ndio huyoo au ukishindwa muite bendera fata upepo.Bingwa la kufuata upepo hilo li madam.Bure kabisa.
😀😀😀Nishai hilo libibi Magufuli alivyokuwa mkali na lenyewe likawa likali .Samia kaja na upole limeshabadili rangi lifatilie linajifanya poleee kumbe tapeli la madaraka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TyuuNi mbunge wangu huyu, miaka 20 ya ubunge lakini hakuna anachofanyaa yeye mda wa uchaguzi kugawa tsheti na khanga na kofia,
Yaan songea vijijini, jimbo "peramiho" ni hovyoo tyuuh. Wananchi wanavyo muelewa sasa sijui hata kawapa nn, tena wamemuambia agombee hadi atakapochoka yeye ndo atafute wa kumuachia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangoni tumepatwaa mbona.
Mganga wake atakua anaagiza ng'ombe sio hawa wetu wa kuku 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa mganga anae na amshikilie sana.
Akiwa kanisani pale Matogoro Songea siti yake ni ya mbele kabisa na kabla ya misa kuisha lazima apite mbele anapiga blaa blaa zake, so akitoka hapo anaenda kilingeni kujiimarisha[emoji3][emoji3] maana wangoni ni mafundi siyo mchezoMsumbiji useme dear. Malawi mbna cha mtoto.
Kitu msumbiji hapooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]