Uwezo wa Jenista Mhagama unatia mashaka

Sijawahi kuona akitumia akili... Ni aina ya watu wenye bahat yakupata cheo ila akili ndogo sana... But anyways muache ale maisha
 
Anasura ya kich......awi hivi, ndiye aliye waunguza watumishi wa Umma kwa kikokotoo cha wastaafu cha 25% ya kiinua mgongo wakati wa The late Dr Magufuli. Ch......awi sana hili na mawigi yake kama manyoya ya mbuzi.
 
Ndio wanasiasa wa tz
 
Mkuu wa Wilaya ana uwezo gani wa kusimamia hay mambo anayo waagiza? Au anajisahau na kudhani labda anaongea na Wakurugenzi?
Hao uwezo wao ni kufuatilia kuona kama mambo yanafanyika onsite
Sahihi mkuu. Hebu fikiria waziri kama huyo unategemea nini wizarani
 
Ndio maana rushwa nchi hii haitakoma bali inazidi kukomaa.
Mtendaji mkuu wa kusimamia TAKUKURU nae anatoa rushwa kumbe,kazi ipo
 
Yule mama honestly sijawahi kumuelewa..amekaa mkuda mkuda hivi dizaini.
 
Yaani wewe ndiye zuzu kabisa kama hufahamu hilo. Sasa huko wilayani akaulizwe nani, mwenyekiti wa kitongoji

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Huyo waziri ni chenga tu mama yetu aangalie hili kiundani mdogo wangu yupo chini ya wizara yake madudu ni mengi madaraja hakuna miaka 6 sasa hakuna daraja ni msoto tu bora liende
 
Huyo waziri ni chenga tu mama yetu aangalie hili kiundani mdogo wangu yupo chini ya wizara yake madudu ni mengi madaraja hakuna miaka 6 sasa hakuna daraja ni msoto tu bora liende
Halafu eti mkuu wa wilaya akafuatilie upandaji wa madaraja na malimbikizo.
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…