Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

Uwezo wetu wa medani utatufananisha na nani makomando wetu hawaogopi moto wakiamua kusonga mbele



1. United States:
- Navy SEALs
- Delta Force (1st Special Forces Operational Detachment-Delta)
- Green Berets (U.S. Army Special Forces)

2. Russia:
- Spetsnaz (Various units under different branches)
- Alpha Group (Counter-terrorism unit)
- Vympel (Counter-terrorism unit)

3. United Kingdom:
- SAS (Special Air Service)
- SBS (Special Boat Service)
- SRR (Special Reconnaissance Regiment)

4. Israel:
- Sayeret Matkal (Special Reconnaissance Unit)
- Shayetet 13 (Naval Special Warfare Unit)
- MAGAV (Border Police Counter-Terrorism Unit)

5. China:
- PLA Special Operations Forces (Various units under different branches)

6. France:
- GIGN (National Gendarmerie Intervention Group)
- RAID (Research, Assistance, Intervention, Deterrence)
- Commando Hubert (Naval Commando Unit)

7. Germany:
- KSK (Kommando SpezialkrΓ€fte)
- GSG 9 (Border Protection Group 9, specialized police unit)

8. India:
- Para Commandos (Special Forces of the Indian Army)
- MARCOS (Marine Commandos, Indian Navy)
- Garud Commando Force (Indian Air Force)

9. Pakistan:
- SSG (Special Services Group)
- SSGN (Special Services Group Navy)
- Special Service Wing (Special Services Group Air Force)

10. Turkey:
- Maroon Berets (Bordo Bereliler, Turkish Army)
- SAT (Underwater Offence, Commando and Sniper Team, Turkish Navy)
 
Lakini JWTZ hawakusema wamekuwa namba 6 kwa umiliki wa Military satellite

Tutakuwa tuliwanukuu tu vibaya
Safi kabisa. Je, unaweza ukajaribu kutudadavulia walikuwa wanaongea nabari 6 katika jambo lipi?
 
Katika ubora wa kijeshi
Ubora wa jeshi pamoja na electromagnetic communication. How can you communicate if you don't own satellites? Ubora unakujaje hapo without modern communication. Au tunatumia njiwa?
 
Ubora wa jeshi pamoja na electromagnetic communication. How can you communicate if you don't own satellites? Ubora unakujaje hapo without modern communication. Au tunatumia njiwa?
Sio lazima

Cha msingi ni kupata huduma ambazo hata wanamiliki wanapata. Iwe kwa kulipia au vinginevyo.
 
Toa mfano kwetu
Kwani unataka kusema jeshi halitakuwa na uwezo wa kufanya communication kwasababu tu nchi haimiliki satellite?

Haiwezekani ku share satellite za wengine afu si tulipie?

Satelite ni kama bandari kwa nchi ambazo hazina bahari.

Haimaanishi wasiokuwa na bandari hawawezi ku import & export bidhaa nje.

Na ukifikiria kuwa nchi ambayo ina bandari basi ndio wananchi wake wanafaidika napo sio sahihi.

Kwasababu tumeona magari yanapitishwa bandarini kwetu kwenda Congo lakini bei ya gari hilo kwa Tanzania ni kubwa kuliko bei ya Congo.
 
Haya weka na ya Tanzania
 
Huyu jamaa anatia aibu, kuanzia kwenye mpira mpaka huku
 
Angalia na rank ya KUPIGA MA-Raia tunashika wangapi , unaweza ukute na hiyo sio wa 5
 
Mkuu angalia na list ya kupiga raia na uchawi je tupo
 
??? ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…