Kwahiyo unadhani yanatokea kwa kila marehemu?Hizo ni Imani tu,nakumbuka Kuna mtanzania alifariki huku,waoshaji ni wazungu mimi nilikua mmojawapo nilienda kupeleka nguo za kuuvalisha mwili, niliwaomba nishuhudie wakimuosha na kumuandaa,hayo sijayaona kabisa ya kubembelezana.
Mkuu,kuna watu waliwahi kufungua macho kabisa kwenye jeneza..anaombwa na anafunga Mara moja!!Uhai wa kiroho unaendelea kinachokufa ni mwili uharibikao
Huwa sielew mtu kutumia biblia au quran kujibu hoja ya iman nyingine bila kwanza kuelewa hata biblia au quran ni mwongozo wa imani flan. jikite upande mmoja.Biblia inasema Wafu hawajui neno lolote, hapo kwenye red ni imani tu lakini hakuna uhalisia. "Mhubiri 9:5 kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa. 6 Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua."
Naona ni huko Tz,tu,mwisho leo hiii nimejaribu kumdodosa mama mmoja kuhisu suala Hilo, akaniambia hajawahi ku experience kitu kama hiko,naye ameajiriwa kwenye funeral service homes,kila siku wanaosha na kuwa valisha maiti.Kwahiyo unadhani yanatokea kwa kila marehemu?
Huko kwenye funeral homes ni ngumu hili ni suala la kifamilia na kindugu zaidi lakini hata kama hajapata ku experience hii kitu bado haiondoi uhalisia wake....kumbuka yeye ni sehemu ndogo sana kwenye ulimwengu mzimaNaona ni huko Tz,tu,mwisho leo hiii nimejaribu kumdodosa mama mmoja kuhisu suala Hilo, akaniambia hajawahi ku experience kitu kama hiko,naye ameajiriwa kwenye funeral service homes,kila siku wanaosha na kuwa valisha maiti.
Ni kitu gani huongezeka au huizunguka maiti hata ikajenga taswira ya kuogopesha ndani ya jamii wakati kabla ya hapo alikua ni mpendwa wetu na mwenzetu tuliyempenda na kuvutiwa naye?Hahahaaaaa Zamaulid nimecheka hadi kidogo nipaliwe nakumbuka siku ya kwanza Kupewa maiti niiweke vizuri sikulala na kwakweli sikula nyama karibia wiki 2! Ilikuwa maiti iliyochomwa moto halafu ukazimwa kabla haijateketea yote
Na kuna wakati nikakosa mchumba hivi hivi baada ya kumwambia nafanya kazi gani hakulala aliaga na hakurudi tena
The thing is hawana concept ya hivyo vitu,kwa hiyo uenda vikawepo lakini wakawa hawavitilii maanani.Huko kwenye funeral homes ni ngumu hili ni suala la kifamilia na kindugu zaidi lakini hata kama hajapata ku experience hii kitu bado haiondoi uhalisia wake....kumbuka yeye ni sehemu ndogo sana kwenye ulimwengu mzima
Nilikwenda kuisomea pale kwenye Makaburi ya kituo cha Red cross upanga, karibu na kanisa la OrthodoxWacha wee ya wapi hayo?
Hahaha wewe umeenda kwenye yale makaburi ya kinyangema makaburi yana bustari nzuri za maua zimefagiliwa na Pana pendeza kweli... Hata mimi ningeweza kwnda kulala kabisaNilikwenda kuisomea pale kwenye Makaburi ya kituo cha Red cross upanga, karibu na kanisa la Orthodox