Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takupa mrejesho kesho
natamani ningekuwa jiran niungane na nyinyi
Karibu sana mkuu.
Tunahitajika watatu, now niko peke yangu.
waweza join nasi
Poa poa mkuu
Karibu sana mkuu.
Tunahitajika watatu, now niko peke yangu.
waweza join nasi
mnipe ratibai nione kama naweza kuja ila natamani sana
Mshana Jr ningekua nimesharudi dar tungekwenda wote kwa kuwa sisi wengine huwa hatuwekewi vipingamizi ila nimekuwa na mambo mengi kwa kuwa hata Mimi ningependa watu waone namna dunia ilivyo na jinsi gani unaweza kumfufua mtu na kuongea nae kisha akakuelekeza unavyoweza kuwatawara watu vitu ambavyo hutumiwa na masheh viongozi wa serikali na wachungaji pamoja na maagano yao ili hao ambao wangekuwepo waone na kushuhudia dunia tulionao
Hahaha.. umetisha mkuu. Nilijua una simulizi
Habari ambazo si njema sana ni kwamba hili jambo laweza kuwa gumu , nilichagua makaburi ya kisarawe bagamoyo na tegeta lakini wahusika wa huko wote wamenikatisha tamaa kuwa siku hizi kuna utaratibu mgumu mno na ni mpaka upate kibali cha polisi na ulinzi ambacho hata hivyo kuna mlolongo mrefu na maswali mengi
Baadhi ya wanasayansi wa siasa wana uwezo wa kuongea na watu maarufu waliowahi kuishi duniani kwa kutumia theory zao.
Kama tutakuwa na kumbukumbu vizuri ni hivi majuzi tu baadhi ya watia wa chama fulani cha siasa walisema kuwa wakichaguliwa kuwa Ma/Rais Hayati mpendwa wetu Baba wa Taifa JK Nyerere huko aliko atafurahi.
Uwezo wa binadamu kuongea na aliyekwisha fariki umebaki kuwa ni sayansi binafsi inayohusisha shirki.
hata membe alikiri kuongea na nyerere akiwa kaburini, na alipotoka bitama watu wakaanza kumwambia habari za urais, akajua wametumwa na hayati mwalimu!! UPUUZI MTUPU!!