Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

Baba V Nashukuru ila naona post yako iko hidden nashindwa kuku quote
 
Last edited by a moderator:
Sasa nimeanza kumuamini huyu medium huku niliko. Maana naitaji kujua baba yangu hko aliko anawaza nini juu yangu maana aliondoka mi mdogo sana.
Huyu mama akiwa kwenye umati wa watu ni kama roho Za wafu zinamjia, hakujui humjui unashangaa tu anakutajia mtu wako wa karibu aliyekufa na baadhi ya vitu ambavyo kama si mtu wa karibu na marehemu hawezi kuvijua,ila yeye anavijua.
Kwa huu uzi sasa namuamini na itabidi nimtafute nione atasema nini juu yangu.
 
Poa poa mkuu

Karibu sana mkuu.
Tunahitajika watatu, now niko peke yangu.
waweza join nasi

mnipe ratibai nione kama naweza kuja ila natamani sana

Habari ambazo si njema sana ni kwamba hili jambo laweza kuwa gumu , nilichagua makaburi ya kisarawe bagamoyo na tegeta lakini wahusika wa huko wote wamenikatisha tamaa kuwa siku hizi kuna utaratibu mgumu mno na ni mpaka upate kibali cha polisi na ulinzi ambacho hata hivyo kuna mlolongo mrefu na maswali mengi
 
Mshana Jr ningekua nimesharudi dar tungekwenda wote kwa kuwa sisi wengine huwa hatuwekewi vipingamizi ila nimekuwa na mambo mengi kwa kuwa hata Mimi ningependa watu waone namna dunia ilivyo na jinsi gani unaweza kumfufua mtu na kuongea nae kisha akakuelekeza unavyoweza kuwatawara watu vitu ambavyo hutumiwa na masheh viongozi wa serikali na wachungaji pamoja na maagano yao ili hao ambao wangekuwepo waone na kushuhudia dunia tulionao
 
Aisee ingekuwa poa sana ila usijali siku ukirudi tu nijulishe niwajulishe na wadau wengine pia bila kumsahau Madame B
 
Last edited by a moderator:
Msijari tupo pamoja nikirudi tu nitamcheki mshana kwa sababu kuna vitu tulishaongea hivyo atawajurisha kwa kuwa kuna watu huwa hawaamini ila kwa mtakayoyaona nadhani hata ikija mada ya uchawi na viongozi wetu mtaaamini na mtawafanya wengine nao wajue viongozi wetu ni watu wa namna gani
 
Baadhi ya wanasayansi wa siasa wana uwezo wa kuongea na watu maarufu waliowahi kuishi duniani kwa kutumia theory zao.
Kama tutakuwa na kumbukumbu vizuri ni hivi majuzi tu baadhi ya watia wa chama fulani cha siasa walisema kuwa wakichaguliwa kuwa Ma/Rais Hayati mpendwa wetu Baba wa Taifa JK Nyerere huko aliko atafurahi.
Uwezo wa binadamu kuongea na aliyekwisha fariki umebaki kuwa ni sayansi binafsi inayohusisha shirki.
 
Karibu adebisi na sio mbaya kujongea nasi ili uweze kufahamu ulimwengu wa Giza na jinsi nguvu za Giza zinavyotumika kwa kuwa mi nilikabidhiwa bure na marehemu mzee wangu nami nitawafundisha bure kikubwa usiwe mwoga tu kwa Yale utakayoyaona
 
Habari ambazo si njema sana ni kwamba hili jambo laweza kuwa gumu , nilichagua makaburi ya kisarawe bagamoyo na tegeta lakini wahusika wa huko wote wamenikatisha tamaa kuwa siku hizi kuna utaratibu mgumu mno na ni mpaka upate kibali cha polisi na ulinzi ambacho hata hivyo kuna mlolongo mrefu na maswali mengi

Kama ishu ni makaburi tu, fika makubuir ya Lugalo huku, yako open hakun longo longo wala kuhojiana yako nje ya fence
 
hata membe alikiri kuongea na nyerere akiwa kaburini, na alipotoka bitama watu wakaanza kumwambia habari za urais, akajua wametumwa na hayati mwalimu!! UPUUZI MTUPU!!
 
Baadhi ya wanasayansi wa siasa wana uwezo wa kuongea na watu maarufu waliowahi kuishi duniani kwa kutumia theory zao.
Kama tutakuwa na kumbukumbu vizuri ni hivi majuzi tu baadhi ya watia wa chama fulani cha siasa walisema kuwa wakichaguliwa kuwa Ma/Rais Hayati mpendwa wetu Baba wa Taifa JK Nyerere huko aliko atafurahi.
Uwezo wa binadamu kuongea na aliyekwisha fariki umebaki kuwa ni sayansi binafsi inayohusisha shirki.

hata membe alikiri kuongea na nyerere akiwa kaburini, na alipotoka bitama watu wakaanza kumwambia habari za urais, akajua wametumwa na hayati mwalimu!! UPUUZI MTUPU!!

Huyu ni tapeli tu na political opportunist
 
Mkuu asante kwa ujumbe wako ila kulingana na vitabu vya dini naomba unifafanunulie kuwa ila Mtu awe nafsi hai ni nini vinatakiwa kuwepo?
 
Back
Top Bottom