Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

Katika seance huongei na mtu aliyekufa. Unaingia katika trance,na mtu aliyekufa anaongea through you.
Pamoja na hilo lakini unaweza kuongea kitu na ukaona kabisa anatii, si kwamba ni mazungumzo marefu au ya utani mara nyingi huwa vitu very sensitive na emergency
 
So far natamani ningeweza niongee na watu wawili waliofariki.... I really need it so bad... Ooh my God....
 
Vuta kumbu kumbu zake kwa yale yote mema alokufanyia na unapolala sema kimoyo moyo nataka kuongea na wewe baba Mara 3 alafu taja kile kitu unachotaka kumuuliza alafu lala hakika atakujia na kukupa majibu stahiki
For really??? Let me do it.... Seriously I want to hear from the most two important people who have passed away.
 
Mkuu mshana jr Asante kwa elimu uliyoitoa hapa ,nimeunganisha baadhi ya mambo yaliyokeisha kutokea enzi hizo na nimepata picha flani ya kuogofya....

Kila makabila yana mila au matambiko ,nizungumzie kwa sisi Wachaga (enzi hizo kabla ya kuachana nazo binafsi) wazee walipokuwa wakitambika huwataja kwa majina wazee waliotangulia (walio fariki) wanapo kwa kuwaomba heri kutokana na shida ya mlengwa aliechinja mbuzi .Kama ni mgonjwa -apone na kwa mfano kama mtu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa na amehangaika nao kwa miaka mingi bila ya mafanikio ,wazee walikuwa wakitambika na mgonjwa alipona kabisa au wazee waliomba kama pana shida ya mvua na ilinyesha ..

Sasa nnajiuliza roho au nafsi vya mtu aliefariki kitambo aliweza vipi kuombwa na wazee na shida zilizo kuwapo zikaondoka !!?Binadamu huyu huyu kwa nini awe na nguvu pale tu anapofariki !!? Nafasi ya Mungu ktk bible hapa IPO wapi !?...

Hili la marehemu kukataa jambo lipo na marehemu wengine husababisha ajali mbaya mnapo msafirisha asipotaka kwenda .Nilisha shuhudia na nilisha simuliwa na wengine hubadilika rangi na kutosha sana...

Samahani kama nntakuwa nje ya mada ..
 
Uko ndani ya mada usijali
Kuhusu roho kuwa na nguvu baada ya kifo bado ni nguvu ile ile iliyopo inapokuwa kwenye mwili hai tatizo linalopunguza nguvu yake ni yale makandokando yanayoizonga ya kuhudumia mwili ufao kuliko roho
Ukiangalia masomo ya meditation kwa sehemu kubwa ni kama sabuni ya kuondoa hayo makandokando na uchafu vinavyoizonga roho
 
mshana jr naomba ufafanuzi juu ya yafuatayo lakini nje ya mada:

kuna kipindi flani hua kuna hali inanitokea, yani kwa mfano nimekaa sehemu labda nimejipumzisha tena nikiwa hata napiga stori na mtu mwingine lakini ghafla labda anatokea mtu anakuja tulipo anaongea au kufanya jambo fulani. Cha kushangaza wakati huyo mtu anaongea au kufanya jambo fulani memory yangu inanionyesha kua kinachotokea mda huo ni kama nimekiona muda flan mfupi kikifanyika vilevile kinavotukia? Najaribu kukumbuka kimefanyika wapi na saa ngapi mara memory inagoma kabisa kisha napotezea.

Hali hii hunitokea mara chache chache. Je, ni nini huwa kinatokea na ni kwa vipi? Msaada tafadhali.
 
roho na nafsi, hebu nisaidie tofaut zake ktk ufanyaji wa kazi kwa binadamu.
 
mshana jr naomba ufafanuzi juu ya yafuatayo lakini nje ya mada:

kuna kipindi flani hua kuna hali inanitokea, yani kwa mfano nimekaa sehemu labda nimejipumzisha tena nikiwa hata napiga stori na mtu mwingine lakini ghafla labda anatokea mtu anakuja tulipo anaongea au kufanya jambo fulani. Cha kushangaza wakati huyo mtu anaongea au kufanya jambo fulani memory yangu inanionyesha kua kinachotokea mda huo ni kama nimekiona muda flan mfupi kikifanyika vilevile kinavotukia? Najaribu kukumbuka kimefanyika wapi na saa ngapi mara memory inagoma kabisa kisha napotezea.

Hali hii hunitokea mara chache chache. Je, ni nini huwa kinatokea na ni kwa vipi? Msaada tafadhali.
Kwa wale wanaoamini katika reincarnation wangesema ni kumbukumbu ya maisha uliyoishi mahali. ...lakini kisaikolojia ni kwamba tunatofautiana uwezo wa kiakili na kunasa matukio
Matukio kama hayo yako ni matukio halisi Ulishawahi kukutana nayo lakini hukuyatilia maanani lakini ubongo uliyanasa na kuyahifadhi bila kuyaleta ndotoni kama kumbukumbu utusitusi(vague memories)
Kwenye ulimwengu wa roho kuna nguvu ya uvutano wa kiroho kwahiyo unapomuona mtu kisha lile tukio likaja ni mawasiliano ya kiroho toka kwa yule mtu kwenda kwenye tukio lililohifadhiwa kwenye ubongo wako
 
mshana jr ebu ongezea ufafanuzi kidogo, yani hua inakua hivi:
kinachotukia kinakua exactly the same na kilichonionyesha ktk memory na mtendaji wa tukio ni exactly yule yule ninaemwona ktk memory.

Kuna mahala nadhani humu jf nilisoma kitu kinaitwa premeditation, sijui nacho ni kitu gani na je kina husiana vp na hii hali? Tafadhali majibu kwa ufupi tu ili tusipoteze mada iliyoko hewani.
 
mshana jr naomba ufafanuzi juu ya yafuatayo lakini nje ya mada:

kuna kipindi flani hua kuna hali inanitokea, yani kwa mfano nimekaa sehemu labda nimejipumzisha tena nikiwa hata napiga stori na mtu mwingine lakini ghafla labda anatokea mtu anakuja tulipo anaongea au kufanya jambo fulani. Cha kushangaza wakati huyo mtu anaongea au kufanya jambo fulani memory yangu inanionyesha kua kinachotokea mda huo ni kama nimekiona muda flan mfupi kikifanyika vilevile kinavotukia? Najaribu kukumbuka kimefanyika wapi na saa ngapi mara memory inagoma kabisa kisha napotezea.

Hali hii hunitokea mara chache chache. Je, ni nini huwa kinatokea na ni kwa vipi? Msaada tafadhali.
Mimi pia huwa inanitokea hali hii.
 
mshana jr ebu ongezea ufafanuzi kidogo, yani hua inakua hivi:
kinachotukia kinakua exactly the same na kilichonionyesha ktk memory na mtendaji wa tukio ni exactly yule yule ninaemwona ktk memory.

Kuna mahala nadhani humu jf nilisoma kitu kinaitwa premeditation, sijui nacho ni kitu gani na je kina husiana vp na hii hali? Tafadhali majibu kwa ufupi tu ili tusipoteze mada iliyoko hewani.

Mimi pia huwa inanitokea hali hii.
Piteni hapa kuna ufafanuzi mawasiliano ya kiroho na milango nane ya fahamu
 
Nimepitia uzi huu page kwa page..nimejifunza Mengi na nimecheka pia..yule mdau wa saa ya SM hahahaaa itabd niitafute nione hako kapicha.
Pia namuomba Mamdemji(tafadhali waweza nirekebisha kama nimekosea kuandika) arudi kumalizia story yake..amenisisimua sana pale alipotaka kwenda kuchepuka...
 
Back
Top Bottom