Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Katika seance huongei na mtu aliyekufa. Unaingia katika trance,na mtu aliyekufa anaongea through you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na hilo lakini unaweza kuongea kitu na ukaona kabisa anatii, si kwamba ni mazungumzo marefu au ya utani mara nyingi huwa vitu very sensitive na emergencyKatika seance huongei na mtu aliyekufa. Unaingia katika trance,na mtu aliyekufa anaongea through you.
Pamoja na hilo lakini unaweza kuongea kitu na ukaona kabisa anatii, si kwamba ni mazungumzo marefu au ya utani mara nyingi huwa vitu very sensitive na emergency
For really??? Let me do it.... Seriously I want to hear from the most two important people who have passed away.Vuta kumbu kumbu zake kwa yale yote mema alokufanyia na unapolala sema kimoyo moyo nataka kuongea na wewe baba Mara 3 alafu taja kile kitu unachotaka kumuuliza alafu lala hakika atakujia na kukupa majibu stahiki
Uko ndani ya mada usijaliMkuu mshana jr Asante kwa elimu uliyoitoa hapa ,nimeunganisha baadhi ya mambo yaliyokeisha kutokea enzi hizo na nimepata picha flani ya kuogofya....
Kila makabila yana mila au matambiko ,nizungumzie kwa sisi Wachaga (enzi hizo kabla ya kuachana nazo binafsi) wazee walipokuwa wakitambika huwataja kwa majina wazee waliotangulia (walio fariki) wanapo kwa kuwaomba heri kutokana na shida ya mlengwa aliechinja mbuzi .Kama ni mgonjwa -apone na kwa mfano kama mtu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa na amehangaika nao kwa miaka mingi bila ya mafanikio ,wazee walikuwa wakitambika na mgonjwa alipona kabisa au wazee waliomba kama pana shida ya mvua na ilinyesha ..
Sasa nnajiuliza roho au nafsi vya mtu aliefariki kitambo aliweza vipi kuombwa na wazee na shida zilizo kuwapo zikaondoka !!?Binadamu huyu huyu kwa nini awe na nguvu pale tu anapofariki !!? Nafasi ya Mungu ktk bible hapa IPO wapi !?...
Hili la marehemu kukataa jambo lipo na marehemu wengine husababisha ajali mbaya mnapo msafirisha asipotaka kwenda .Nilisha shuhudia na nilisha simuliwa na wengine hubadilika rangi na kutosha sana...
Samahani kama nntakuwa nje ya mada ..
Kwa wale wanaoamini katika reincarnation wangesema ni kumbukumbu ya maisha uliyoishi mahali. ...lakini kisaikolojia ni kwamba tunatofautiana uwezo wa kiakili na kunasa matukiomshana jr naomba ufafanuzi juu ya yafuatayo lakini nje ya mada:
kuna kipindi flani hua kuna hali inanitokea, yani kwa mfano nimekaa sehemu labda nimejipumzisha tena nikiwa hata napiga stori na mtu mwingine lakini ghafla labda anatokea mtu anakuja tulipo anaongea au kufanya jambo fulani. Cha kushangaza wakati huyo mtu anaongea au kufanya jambo fulani memory yangu inanionyesha kua kinachotokea mda huo ni kama nimekiona muda flan mfupi kikifanyika vilevile kinavotukia? Najaribu kukumbuka kimefanyika wapi na saa ngapi mara memory inagoma kabisa kisha napotezea.
Hali hii hunitokea mara chache chache. Je, ni nini huwa kinatokea na ni kwa vipi? Msaada tafadhali.
Mimi pia huwa inanitokea hali hii.mshana jr naomba ufafanuzi juu ya yafuatayo lakini nje ya mada:
kuna kipindi flani hua kuna hali inanitokea, yani kwa mfano nimekaa sehemu labda nimejipumzisha tena nikiwa hata napiga stori na mtu mwingine lakini ghafla labda anatokea mtu anakuja tulipo anaongea au kufanya jambo fulani. Cha kushangaza wakati huyo mtu anaongea au kufanya jambo fulani memory yangu inanionyesha kua kinachotokea mda huo ni kama nimekiona muda flan mfupi kikifanyika vilevile kinavotukia? Najaribu kukumbuka kimefanyika wapi na saa ngapi mara memory inagoma kabisa kisha napotezea.
Hali hii hunitokea mara chache chache. Je, ni nini huwa kinatokea na ni kwa vipi? Msaada tafadhali.
mshana jr ebu ongezea ufafanuzi kidogo, yani hua inakua hivi:
kinachotukia kinakua exactly the same na kilichonionyesha ktk memory na mtendaji wa tukio ni exactly yule yule ninaemwona ktk memory.
Kuna mahala nadhani humu jf nilisoma kitu kinaitwa premeditation, sijui nacho ni kitu gani na je kina husiana vp na hii hali? Tafadhali majibu kwa ufupi tu ili tusipoteze mada iliyoko hewani.
Piteni hapa kuna ufafanuzi mawasiliano ya kiroho na milango nane ya fahamuMimi pia huwa inanitokea hali hii.
Mkuu mbona hiyo link ni ya teknolojia ya mawasiliano. haihusiani na swali.Piteni hapa kuna ufafanuzi mawasiliano ya kiroho na milango nane ya fahamu
Kwani ww umetokea wapi mbona unapinga si uanzishe thread yakoHapo ataongea na pepo tu hakuna mawasiliano baina ya mfu na binadamu