Mkuu, sikatai hilo lakini kama unasema watafiti wetu wanajua formula, mbona hujiulizi kwanini hata hizo tunazotumia hazitengenezwi hapa nchini?? Najua utasema ziko patented na ni kosa kuiga. Je unaweza kutwambia hapa toka NIMR ianze, wamekwishagundua dawa au lishe gani iliyofanyiwa utafiti na kuthibitika kufanya kazi??
Ukweli ni huu, tuna utamaduni wa kujali mambo madogo madogo. Hatuwekezi muda, fedha wala maarifa katika mambo makubwa! China anaweza kuiga kama sio kugundua kwa sababu amewekeza katika kugundua au kuiga!!
Na ukishindwa kushindana na mtu, jiunge nae. Sio umuonee husuda au kumtakia mabaya. Mambo hayo hayatakufanya uwe bora kuliko yeye!!
ARV ni tiba lishe iliyowekwa katika kidonge. Na kilicho katika kidonge kimoja kinaweza kupatikana katika lishe ya vyakula vya siku 20!! This is the point you are missing. It is a run against time!!!!! Time, bro!