ππππππ kumbe una google takwimu.yani mpaka kupiga faulo mkuu hahhaha em lala kwanza
Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?
Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe
Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi
Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
wewe faulo imetokea unampa messi gauchoππππππ kumbe una google takwimu.
Kama ni mfatiliaji wa mpira na ukakosa kuwaona hao mwamba wanasakata kabumbu utakuwa umekosa kitu muhimu sana kwenye maisha yako.
Dogo hizo takwimu zako zitakuambia kuwa Kelvin de bruein ni bora kuliko Iniesta.
Ukiludi uwanjani utaelewa nani ni mkali.
unajua kama messicr7 wana magoli mengo ya kutoka na mpira mpaka golini kuzidi gaucho?Mtoa mada naomba urejee video za Gaucho akiwa uwanjani uone kisha utajibu mwenyewe.
Kwa upande wangu bado nakazia kuwa HAKUNA KAMA GAUCHO sema siku hizi vijana wanaocheza mpira wanatangenezwa na drama zikiwemo ndani yake. Wakati wa zamani wachezaji walikuwa wakionesha ufundi wao wazi kabisa.
Kingine, mfumo wa mpira siku hizi upo kivingine yaani sio rahisi kuona mtu akitoka na mpira goli hadi goli akipiga chenga.
Siwezi kukulaumu kama ungemuona gaucho yote usinge sema.wewe faulo imetokea unampa messi gaucho
sasa mtu kakuzidi takwimu unakuaje mkali kuliko yeye tena?
kila sehemu unayogusa mtu. mwingine anafanya mara tano yako utakuaje mkali hapo sasa kumpita
iniesta huyu huyu kiungo mchezeshaji lakini anamaliza msimu na asist chini ya 4 πππππππππ kumbe una google takwimu.
Kama ni mfatiliaji wa mpira na ukakosa kuwaona hao mwamba wanasakata kabumbu utakuwa umekosa kitu muhimu sana kwenye maisha yako.
Dogo hizo takwimu zako zitakuambia kuwa Kelvin de bruein ni bora kuliko Iniesta.
Ukiludi uwanjani utaelewa nani ni mkali.
unafatilia mpira kweli ?Nadhani ni wachezaji wawili tu Walipigiwa makofi na mashabiki adui wa timu pinzani nao ni RONALDINHO na LIONEL MESSI
Hivi Ronaldo Ana assist ngapi?wapi nimesema hakua na msaada?
huwezi mzuia gaucho ?umemwangalia kweli wewe?
tuelewane gaucho anauwezo mkubwa sana uwanjani ila hafiki uwezo wa messcr7 uwanjani
madhara ya mpira wa miguu ni magoli assist chance creativity na vyote kazidiwa !
mpaka hapa unamhitji zadane akuambie !
hahhahaha ujui takwimu ni record data ya kilichofanyika uwanjani na mchezaji?ππππππ kumbe una google takwimu.
Kama ni mfatiliaji wa mpira na ukakosa kuwaona hao mwamba wanasakata kabumbu utakuwa umekosa kitu muhimu sana kwenye maisha yako.
Dogo hizo takwimu zako zitakuambia kuwa Kelvin de bruein ni bora kuliko Iniesta.
Ukiludi uwanjani utaelewa nani ni mkali.
220+Hivi Ronaldo Ana assist ngapi?
Kwanza umefanya dhambi kusema " eti mmefikia kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo" Hiyo ilibidi iwe kinyume na unavyosema. Iwe messi na ronaldo wanalinganishwa na gaucho.Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?
Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe
Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi
Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
taja vitatu anavowazidi basi au dandana ?Kwanza umefanya dhambi kusema " eti mmefikia kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo" Hiyo ilibidi iwe kinyume na unavyosema. Iwe messi na ronaldo wanalinganishwa na gaucho.
Gaucho alikuwa na kila kitu na kubwa zaidi alikuwa ni ENTERTAINER. Kuna raha kumuangalia gaucho kuliko cr7 au kiwete messi.
So, unapo muandika, mpe heshima yake.
aya ndo mambo kupinga kwa hojaRonaldinho free kicks... 66
Messi free kicks... 52
Ronaldo free kicks.. 55
Kwa takwimu zako iniesta na kevin de bruyne nani mkali?hahhahaha ujui takwimu ni record data ya kilichofanyika uwanjani na mchezaji?
kiufupi takwimu za mpira ni marudio ya tulichokishuudia?
kwa kipi ?Kwa takwimu zako iniesta na kevin de bruyne nani mkali?
Nimekuambia iniesta na KDB hao watu wawili nani utamchukua kwenye timu yako.kwa kipi ?
kwa pass nyingi iniesta
kwa assist nachukua KDB
1. moja na kubwa ni entertainment, kuna raha sana kumuangalia Gaucho akicheza.vit
taja vitatu anavowazidi basi au dandana ?
kdbNimekuambia iniesta na KDB hao watu wawili nani utamchukua kwenye timu yako.