katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
- Thread starter
-
- #121
hata kukuelewa nimeashindwa!1. moja na kubwa ni entertainment, kuna raha sana kumuangalia Gaucho akicheza.
2. Huwa anacheza kwa ajili ya timu.
Mi si mzuri wa records ila imani yangu ni kuwa jamaa ni mzuri zaidi ya hao.
Ni kujitoa ili timu ipate ushindihata kukuelewa nimeashindwa!
kucheza kwa ajili ya timu ndo kuchezaje?
CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama.hata kukuelewa nimeashindwa!
kucheza kwa ajili ya timu ndo kuchezaje?
mkuu nini tena😆😆😆😆😆tupo michezoni bwana tanatoa stress za siasa unaleta tena siasa?CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama.
Membe alifukuzwa toka tarehe 28 Febr, 2020 sasa kama unaendelea kubisha haya. Ajabu unabishia hata vyombo vya habari ikiwamo jf.
Watu wasio na hoja ndio wenye tabia ya kejeri na matusi, so toa hoja mkuu badala ya kejeri.
uko sahihi mkuu tunajadiliana tu.Ni kujitoa ili timu ipate ushindi
ana individual skills ambazo naomba hao wengine hawana.
Mkuu, sipo hapa kubishana au kukubadili mawazo maana wewe ni wa mpira wa sasa na hao wawili ndio ulio waona, ila nimepata bahati ya kuwaona wote hao.
Kipindi cha gaucho, kulikuwa na magwiji wengine ambao ni Ronaldo, Zidane, Beckham, Makelele Henry, Berkamp, Okocha, n wengineo. Mpira ulikuwa mzuri kwa kuangalia na burudani hasa. Mpira wa sasa umekosa utamu. Kama unapenda mpira wa sasa ni sawa, hata mimi napenda sana ila naona umekosa ladha.
Kama hao wengine wazuri kwa upande wako ni sawa tu coz ni zama zao hizi na pengine wana elekea mwisho wa ufalme wao.
Hahahaha..😂😂😂😂😂kdb
je wewe unachukua nani chifu!
😂😂😂😂 Sorry mkuu. Kuna mtu nilikuwa namjibu. Duuuuh, samahani sana.mkuu nini tena😆😆😆😆😆tupo michezoni bwana tanatoa stress za siasa unaleta tena siasa?
unajua kama messicr7 wana magoli mengo ya kutoka na mpira mpaka golini kuzidi gaucho?
rate ya dribble ya messi unalinganisha na gaucho ?
nimkutajia vitu hapo juu je gaucho anawafikia hawa watu?
ukitoa control ya mpira
Unamaanisha nini unaposema control ya mpira?rate ya dribble ya messi unalinganisha na gaucho ?
nimkutajia vitu hapo juu je gaucho anawafikia hawa watu?
ukitoa control ya mpira
Hata kina canavaro kuanzia kwamuulize david seaman atakwambia
mkuu, uwe na adabu! Huu ukuta unaopelekeshwa hapa ni wa kina canavaro..Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?
Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe
Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi
Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
namaanisha zile kontroo za mpaka mabegani mgongoni kukata viuno na mpiraUnamaanisha nini unaposema control ya mpira?
Mkuu Nashauri uendelee kushabikia golf ya pale lugalo.dembele ana world cup unajua hilo
uyo gaucho amfikii makombe pedro inajua hilo
nimesema tujadili uwezo binafsi ambao mchezaji anabaki nao hata aende ndanda
Nimekuwekea clip moja hapo juu, iangalie na itafakari.namaanisha zile kontroo za mpaka mabegani mgongoni kukata viuno na mpira
kifupi namaanisha kuuchezea mpira
kwenye hio coment umeona nini mpaka useme hivo?Mkuu Nashauri uendelee kushabikia golf ya pale lugalo.
mtu kucreate chance uwanjani hawezi unataka niangalie clip yake!Nimekuwekea clip moja hapo juu, iangalie na itafakari.
Naamini umeanza ushabiki ukubwani, kabla ulikua unashabikia mchezo mwingine. Haiwezekani useme ronaldinho hakuwa na sifa ulizotaja.kwenye hio coment umeona nini mpaka useme hivo?
nimesema uongo
wewe ndo walwale ukiambiwa unasema gaucho ana kombe la dunia messcr7 hawanaMkuu Nashauri uendelee kushabikia golf ya pale lugalo.
Duh..ip
mtu kucreate chance uwanjani hawezi unataka niangalie clip yake!