Uwezo wa Ronaldinho Gaucho uwanjani ulikuwa ni upi?

Uwezo wa Ronaldinho Gaucho uwanjani ulikuwa ni upi?

1. moja na kubwa ni entertainment, kuna raha sana kumuangalia Gaucho akicheza.
2. Huwa anacheza kwa ajili ya timu.
Mi si mzuri wa records ila imani yangu ni kuwa jamaa ni mzuri zaidi ya hao.
hata kukuelewa nimeashindwa!

kucheza kwa ajili ya timu ndo kuchezaje?
 
hata kukuelewa nimeashindwa!

kucheza kwa ajili ya timu ndo kuchezaje?
Ni kujitoa ili timu ipate ushindi
ana individual skills ambazo naomba hao wengine hawana.
Mkuu, sipo hapa kubishana au kukubadili mawazo maana wewe ni wa mpira wa sasa na hao wawili ndio ulio waona, ila nimepata bahati ya kuwaona wote hao.
Kipindi cha gaucho, kulikuwa na magwiji wengine ambao ni Ronaldo, Zidane, Beckham, Makelele Henry, Berkamp, Okocha, n wengineo. Mpira ulikuwa mzuri kwa kuangalia na burudani hasa. Mpira wa sasa umekosa utamu. Kama unapenda mpira wa sasa ni sawa, hata mimi napenda sana ila naona umekosa ladha.
Kama hao wengine wazuri kwa upande wako ni sawa tu coz ni zama zao hizi na pengine wana elekea mwisho wa ufalme wao.
 
uko sahihi mkuu tunajadiliana tu.

ila swala la kujitoa messi anacheza huku anavuja damu mkuu na kitambaa mdomoni!
upendo wa hali ya juu
 
kdb

je wewe unachukua nani chifu!
Hahahaha..😂😂😂😂😂
Siwezi kukupinga na maamuzi yako ila kijana umekosa burudani kwenye historia ya mpira.
Kama ungepata kuviona vizazi vya 2005 kushuka chini.burudani ilikuwa huko kulikuwa na makipa bora,mabeki bora,viungo bora,mawinga bora na wafungaji bora.
Mpira wa sasa mataputapu.hata milembe kuna wenye afadhali.
 
unajua kama messicr7 wana magoli mengo ya kutoka na mpira mpaka golini kuzidi gaucho?

Ingekuwa vema mtoa mada aulize kuhusu magoli ila sio ufundi. Kuhusu magoli kwanza Gaucho alikuwa anafunga tu japo sio sana ila magoli yake ukiyaona utaacha kuwaongelea hao akina Messi na Ronaldo
 
muulize david seaman atakwambia
Hata kina canavaro kuanzia kwa
Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?

Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo

Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?

Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe

Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi

Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
mkuu, uwe na adabu! Huu ukuta unaopelekeshwa hapa ni wa kina canavaro..
 
dembele ana world cup unajua hilo

uyo gaucho amfikii makombe pedro inajua hilo

nimesema tujadili uwezo binafsi ambao mchezaji anabaki nao hata aende ndanda
Mkuu Nashauri uendelee kushabikia golf ya pale lugalo.
 
kwenye hio coment umeona nini mpaka useme hivo?
nimesema uongo
Naamini umeanza ushabiki ukubwani, kabla ulikua unashabikia mchezo mwingine. Haiwezekani useme ronaldinho hakuwa na sifa ulizotaja.
Usikasirike, ni vitu vya kawaida.
 
Mkuu Nashauri uendelee kushabikia golf ya pale lugalo.
wewe ndo walwale ukiambiwa unasema gaucho ana kombe la dunia messcr7 hawana

unasahau hata giroud analo na ukibonde wake😂😂😂😂
 
ip

mtu kucreate chance uwanjani hawezi unataka niangalie clip yake!
Duh..
Dinho hawezi kucreate chance? Labda nikuwekee sawa sentence yako uelewe, kucreate chance ndio assists...
Sina la ziada mkuu, sina la kuongea tena ktk uzi huu.
 
Back
Top Bottom