Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,276
- 12,780
Uko sahihi wanalack foundation ya anatomy, nadhani pia kuna baadhi ya kozi za kuwaandaa wawe wataalamu wa maabara hospitalini hawasomi kama Good clinical & laboratory practice (GCLP), medical laboratory practices, laboratory management ambayo hii itamuwezesha awe na uelewa laboratory work path flow kuanzia sample collection, analysis & result reporting.Bottom line is mtu yeyote hawezi kufanya kazi na binadamu ( hospitali etc) kama hana foundation course ya Anatomy. Hapo ndo hao biotechnologists na microbiologist wa UD na SUA wanapofeli. Simple as that
Sent From Galaxy S9
Pia mambo kama professionalism and ethics kama mtaalamu wa afya ambapo itaongelea mambo kama confidentiality za taarifa za wagonjwa. Na muhimu zaidi ni junior & senior rotations in labs na mambo mengine mengi yapo hapo katikati.
Kiufupi wao hawajaandaliwa wawe wanafanya kazi kama wataalamu wa maabara za afya mahospitalini.
Nilihitimisha kwenye post yangu ya juu hapo kwamba wanaweza wakawa chini ya wizara ya afya ila sio kufanya kazi hospitalini bali kufanya kazi kwenye taasisi za research zilizo chini ya wizara kama National Institute for Medical research (NIMR) au kwenye NGOs zinazohusika na masuala ya research kama ifakara health institute (IHI) bila kuwasahau (MDH).