Uwezo wa wataalam wa Bioteknolojia na Microbiolojia

Yamanaka Factors zilizo badili mtazamo wa Medicine ktk uso wa Dunia. I remember nilisoma huu uvumbuzi kwenye Molecular cell biology, huyu jamaa aliweza badili normal cells kua stem cell, he could take any somatic cell and turn it into a stem cell. I wish Tanzania na sisi tuwekeze katika research.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye mwenyewe alikiri kuwa na uelewa mdogo kwenye Molecular biology na kukaa na wataalam kwa ajili ya research ili kurevolutionise medicine. Leo progression ya medical field huwezi ukamtenga Molecular biologist na Microbiologist.
 
Mi nimekuelewa mkuu. Tatizo sio hao wataalam (MD na Medical Lab Technologists) kuwa wako Selfish bali tatizo ni Wizara ya afya imejaza madaktari na watu wa medical lab karibu kila idara na kitengo.

Haina biotechnologists wala molecular biologists. Actually tulitakiwa kuwa na Idara pale wizarani ya Biomedical Research ambayo tulitegemea iwe na Biotechnologists na Molecular biologists wakutoshs.

Nchi hii ndio maana hata tiba zetu za asili haziendelezwi kwasababu wizara ya afya inaongozwa na wakiritimba, watu ambao sio flexible, wameaminishwa kuwa kila cha wazungu ni bora na wanadharau kila maarifa ya asili na hivyo hawafikirii hata kuendeleza.

Tumejaza matabibu na sio watafiti, akili yao imeishia kwenye kutibu kwa kutumia kila kitu cha mzungu na sio kutumia maarifa yaliyobuniwa ndani. Labda Dr. Zain Chaula Katibu Mkuu afya kidogo naona ana flexibility huenda akafanya mabadiliko kama asipomezwa na mfumo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mtaalam, umenena vyema. Ni jukumu letu kuendelea kupaza sauti mpaka kieleweke.
 
Maelezo ya Profesa hapo juu pamoja na yako yamenifungua macho sana. Kwa sasa Wizara ya Afya haiwatambui kabisa wale wote waliosomea Microbiology au kwa maneno mengine haiwatambui Microbiologists. Wapo tayari kuwaajili Laboratory Technologists na si wao. Hali hii inasikitisha sana.
 
MUHAS Ipo Programme inaitwa Bachelor Medical laboratory sciences in Microbiology and Immunology wanafanya Hizo kazi pia wapo wanojifunzia kazini Diploma/Degree holder pia wanafanya Hizo kazi mkuu

Typed Using KIDOLE
 
Profesa umeongea jambo la msingi sana ambalo baadhi yetu tunalipigia kelele sana.

Nchi inahitaji wataalamu wa aina hii sasa si tu sababu ya clinical application ila hata masuala ya security ya taifa.

Tunahitaji wataalamu wa hivi ndani ya jeshi,ndani ya tiss na taasisi zetu nyeti za sayansi ya biolojia na kemia maana dunia inatutaka tuwe hivyo sasa.

Kama wenzetu duniani huko wana elimu na watu ambao wapo capable kutufanya the whole nation kuwa wagonjwa within weeks then na sisi sasa tunahitaji watetezi wetu maana huko tuendako si kuzuri hata kidogo.

We need our own "Major General Chen Weis" and Professor Shi Zenglis"(if you know what i mean).
 
Wale wote wataalamu wa haya mambo ya madawa huu ndio muda wa kulisaidia Taifa.
 
Kuna mdau wa JF alisema hawawezi tengeneza dawa. Ok

Nitaelekeza kwa mifano
Hakuna pharmaceutical compound inayoweza tumika kwenye mwili bila kua na knowledge ya drug target (receptors, ligands, Au microbial cellular parts kama cell walls, plasma membrane, Nucleus, au nucleic acid target) na mtaalamu wa kusoma hizo drug targets ni MOLECULAR biologist na moja ya njia zinazotumika kusoma hizo target ni Nuclear magnet resonance imaging (NMR), au X-ray crystallography for crystalline samples.

Kuna field ya biomedicine inaitwa bioinformatics mtu wa medical lab hasomi at all wala Daktari, mtu wa Biotechnology au Microbiology anasoma. Na hii ni kitovu cha medical research hasa katika kutafiti novel strain kwa computer simulations. JE WAJUA? hadi kufahamu kua SARS cov -2 (Corona virus 2) ametoka kundi la Virus wanaosababisha SARS na MERS ni application ya Molecular biology techniques kama Sequencing pamoja na Computational biology (Bioinformatics)? Mtu wa medical lab akiambiwa afanye hili zoezi dogo tu hatoweza kwa sababu hajaandaliwa kufanya hizo kazi.
How can you find out a viral or bacterial mutations kama haujui kitu kuhusu BIOINFORMATICS?

Medical personnel (medical labs, MDs) hawafanyi research za Molecular levels wanafanya tafiti za epidemiology, statistical based research, wakifanya experimental basi mwisho wao ni Cell Biolog kwa sababu hawasomi sayansi to the Molecular level.

How can you produce a Vaccine pasipo kujua Bioinformatics? Pasipo na knowledge ya Genetic engineering/Recombinant DNA technology? Pasipo na knowledge ya downstream processing? The same thing to Monoclonal antibodies, Insulin, enzymes na antibiotics.

Wapo madaktari wachache Tanzania waelewa sana na hao nadiliki kuwaita wanasayansi makini ukimpa facts za kisayansi kama hizi moja kwa moja anajifunza kitu na kutambua kua Biotechnology ni msaada mkubwa kwake ili akamilishe matibabu.

Wapo wasiotaka kukubali, I call them SELFISH scientists japo wanatumia immunosuppressant drugs eg. Alemtuzimab wakifanya solid organ transplantation, still hawataki kujua kuhusu nani anazalisha do you think it's such an easy task to target Cytokine receptors?? Like IL6R? Au akiprescribe dawa akaandika kutwa mara tatu anaona yeye ndie mgunduzi kwa sababu ndie aliemalizia kwa kumtibu mgonjwa?

Mbona sisi wanasayansi (Researchers) tunakili hatuwezi fanya surgery? , mbona tunakili hatuwezi Fanya consultations na wagonjwa?, Mbona tunakili haturuhusiwi kufanya prescription za madawa japo kua tunayatengeneza sisi wenyewe na tunayajua kuliko madaktari?
Jibu ni simple Tu tunaheshimu nafasi ya kila mmoja na hiyo ndio sayansi ya kweli. Maana sisi sio madaktari so hatuwezi deal na wagonjwa ila we can deal with samples.

Tatizo watu wengi hawajui vitu na hawaamini kua sayansi inaendelea wakisoma medical labs au Md wanahisi wamemaliza which is not true, sayansi inaendelea na iko deep.
Mtu wa biotechnology anasoma kuja kua researcher na sio kwaajili ya kufanya qualitative (negative or positive) and quantitative (how much) laboratory measurements.

Ntatoa tofauti ndogo ya coverage katika curriculum zetu.

Medical Lab technologists na MD wanasoma
Microbiology pamoja na immunology

Biotechnology wanasoma kozi sita separate ili wawe deep zaidi.

Medical bacteriology as a course
Medical Virology as a course
Medical mycology as a course
Parasitology as a course
Entomology as a course hapa Medical lab wanamix parasitology na entomology.
Biotechnology wanasoma Molecular virology, (Virology at Molecular Level) MD wala medical lab hawasomi molecular virology.

Huu ni uchambuzi wa microbiology Tu hizo courses unawezaje kua deep kwa kumix zote tena unasoma semester moja.

Immunology
Mtu wa biotechnology anasoma immunology yote.
Immunology 1 (Introduction to Immunology)
Immunology 2 (Molecular immunology)
Immunology 3 (Clinical immunology)
Tena usiombe ukafundishwa na PHD holder mmoja yuko UDSM anaitwa Dr. Victor Makene, haachi kitu hata nukta.
Do you know kama antibody molecule ambayo wewe unaishia kutambua kua ni Y shaped molecule kuna watu wanaisoma wiki 3? Uliwahi sikia kuhusu complementary determining regions (CDR)?

Kuna watu hawajui hata kirefu cha CD4 na wengine wanajua CD4 Ni cell ooooh My God. Embu tuacheni siasa tufanyeni SAYANSI.

Nina swali moja la kitaalamu kwa medical personnel ngazi yeyote ile hata kama ni professor.

Duniani kuna watu hawawezi kupata maambukizi ya HIV kutokana na kua na mutation kwenye CCR5 (Chemokine receptor 5) kitalamu inaitwa Delta 32 mutation, na ilimponya bwana timothy Brown aliekua intended kutibiwa cancer by Bone marrow transplantation method.

Swali. Unawezaje kutumia Clustered regularly interspaced palindromic repeats (CRISPR) System (Natural bacterial adaptive immune system used to fight phages) to introduce induced mutation ili Duniani sasa watu wawe immune to HIV? Nieleze na side effects zake.
Hili swali sijajitungia Tu ni project inayoendelea Kwa nchi za wenzetu waelewa wanaotambua mchango wa scientific research acha sisi Tanzania tuendelee kubishana nani bora zaidi.
Tuma jibu lako kwenye email #melchscience@gmail.com
Am pretty sure kama hujasoma Molecular biology hili ni zoezi zito sana.

Tunaendelea na coverage
Biochemistry 1
Biochemistry 2
Biochemistry 3

Molecular biology 1
Molecular biology 2
Molecular cell biology
Molecular developmental biology

Organic Chemistry 1
Organic Chemistry 2
Analytical chemistry

Biostatistics 1 &2
Bioinformatics 1 & 2

Applied Physics in Biology
Humu utasoma principles za vifaa vya laboratory mfano, Microscope, centrifuge, NMR, electronics etc

Watu wa medical lab Wanafanya antimicrobial sensitivity tests (kwa microbial culture technique) na bado hawataki graduate wa Bsc in microbiology afanye hii kazi #SELFISHNES

Wanafanya PCR, molecular biology tool ilogunduliwa na Biochemist Dr. Karry Mullis 1944. Lakini hawamtaki graduate wa Molecular biology afanye PCR. #SELFISHNESS

Hausomi downstream processing unawezaje zalisha enzymes au other proteins for medical use??

Tanzania ifike wakati tukubaliane katika sayansi kila mmoja anaumuhimu kwenye eneo lake. TUACHE UPOTOSHAJI wa jamii, wengine wanadiliki kutanganya kua Biotechnology ni kwajili ya viwanda tu, wengine wanapotosha wakisema wataalamu wa biotechnology ni watu wa Mafuta na Gesi are they petroleum geologists?

Nisikilize kwa makini.
Biotechnology Ina makundi manne White biotech(industrial biotechnology)
Red /Medical biotechnology
Green /Agricultural biotechnology

So they can do a lot kila eneo.
Watu wa MD, na Medical labs wameandaliwa kwaajili ya Clinical environment, kutoa huduma kwa wagonjwa.
Bio technologists and other scientists kama microbiologist wameamdaliwa kwaajili ya research laboratories huko watafanya uvumbuzi utakao kua applied na medical personnel. Mbinu zote za upimaji magonjwa maabara zinatokea kwenye biotechnology. Watu wa Medical lab wanatumia monoclonal antibodies kupima blood group lakini maskini ya Mungu hawajui nani anazalisha Hizo antibodies

Kwa ufupi hiyo ni hybridoma technology (Cancer cell + normal cell fusion) najua sio rahisi kuelewa lakini ifike wakati mjue mwanasayansi makini sio SELFISH, Mwanasayansi makini anathamini mchango wa mwenzie kama ambavyo watu wa biotechnology wanavowategemea MD na Medical labs au Pharmacists kutibu wagonjwa.
THINK BIG THINK BIG THINK BIG

Na huu ujinga bado upo Tanzania Tu nenda US, nenda China, India, Italy nenda Kenya au fuatilia google utagundua Biotechnology ndio kitovu cha Life Sciences reseach. Bill gates aliwahi ulizwa akirudi shule Leo ataamua kusoma nini akajibu Biotechnology and computer science coz ndo fields zinazokua kwa kasi sana. TUBADILIKE TANZANIA TUKO NYUMA SANA KWA SABABU ZA UJINGA TU NA UBINAFSI.

Swali TANZANIA IKIPIGWA NA BIOLOGICAL WEAPON ya virus au engineered bacteria MD au MEDICAL LAB scientist ataanzia wapi ikiwa hajui hata kufanya DNA extraction?

Ikiwa hajui hata Bioinformatics (Computational biology) hajui chochote kuhusu Nucleic acid Sequencing?

Ikiwa hajui chochote kuhusu Downstream processing anawezaje hata purify antibodies?

Ikiwa hajui chochote kubusu NMR
Au Mass spectroscopy anawezaje hata kutambua poisonous proteins?

Guys kila mtu aheshimu profession ya mwenzie. Sayansi hakuna anaeijua yote ndo mana kuna specialization. Sasa Tanzania mtu akisoma tu medical school anaona mtu alietokea UDSM au SUA hajui kitu kumzidi yeye huo ni ufinyu wa fikra. Sayansi is wide.

Kauli yangu ya mwisho:

TUTHAMINIANE HII DUNIA HATUISHI MILELE TUACHE UBINAFSI, UNASABABU IPI YA KUPINGA BIOTECHNOLOGY ISIWE CHINI YA WIZARA YA AFYA? IKIWA HAPO ULIPO UNASUBIRI CHANJO (VACCINE) YA COVID 19 KUTOKA KWA WESTERN BIOTECHNOLOGICAL CAMPANIES?

Prepared by Modern scientist.
Contact: 0758406251
Email #melchscience@gmail.com
Instagram scientist_melch
uko nondo sana mkuu

Report ya tume iliyochunguza maabara ya taifa..imeonyesha kuna upungufu wa wataalamu wa mambo haya tumieni hii fursa..

#MaendeleoHayanaChama.

Well Elaborated
 
Wazo zuri.

Tanzania tunayo manpower.

Kilichobaki ni kuiorchestrate tu vizuri kuleta maendeleo.

Nyie wanasayansi watafiti msiwaze, nikiokota hela wooooooooote ntawapa nafasi kwenye lab(research facility) mjimwayemwaye na maresearch yenu.
 
Hoja ya msingi kuliko zote ni kwa Wizara ya Afya kutambua mchango wa Biotechnology Tanzania, maana sijawahi kuona nchi nyingine Duniani ambayo inawapa restrictions Biotechnologist (Try to find out).
Na reason why hawapewi nafasi zao ni kua katika maabara hizo za Tafiti wanaofanya kazi ni walewale wanaofanya kazi in Clinical settings, and still wanalazimisha kufanya tafiti ambazo hawakuandaliwa kufanya. Unakumbuka kipindi cha Chikungunya Virus? NIMR waliokua ktk hii project ni Full of MDs while it's a typical Biotechnological research.

Wapo epidemiologist ambao wana MD degrees hao ni sahihi kabisa kuwepo NIMR kwaajili ya epidemiology studies. Hata watu Wa Medical labs zipo kazi wanaweza fanya in Research labs
Ila research ikisha husisha Molecular analysis, au chemical evaluations it's far away difficult for them to carry out.

Medical personnel wakishirikiana vizuri na Researchers Tanzania tuta advance sana kwenye utoaji wa huduma za afya. Tatizo Sisi tunapigana vita kama sio wanasayansi yani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika umenena: NIMR inao MDs na manesi zaidi maana tafiti zake ni clinical.

Lab wapo kwa mbaaaaaaali sana.

Wafamasia sasa haaaaaaaaaah 😂😂😂. Inatia huruma ni kuhandle tu research products. Dawa zinazofanyiwa clinical.

Kwani mnadhan kwa nini hadi leo hatuna dawa famasi ambayo imeanzia kwenye tiba-asili!!?

Ila kipindi kile walijitahidi wakatuletea hata NIMRICAF. Yeah that is commendable👊
 
Back
Top Bottom