Uwezo wa wataalam wa Bioteknolojia na Microbiolojia

Yamanaka Factors zilizo badili mtazamo wa Medicine ktk uso wa Dunia. I remember nilisoma huu uvumbuzi kwenye Molecular cell biology, huyu jamaa aliweza badili normal cells kua stem cell, he could take any somatic cell and turn it into a stem cell. I wish Tanzania na sisi tuwekeze katika research.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye mwenyewe alikiri kuwa na uelewa mdogo kwenye Molecular biology na kukaa na wataalam kwa ajili ya research ili kurevolutionise medicine. Leo progression ya medical field huwezi ukamtenga Molecular biologist na Microbiologist.
 
Nimekuelewa mtaalam, umenena vyema. Ni jukumu letu kuendelea kupaza sauti mpaka kieleweke.
 
Maelezo ya Profesa hapo juu pamoja na yako yamenifungua macho sana. Kwa sasa Wizara ya Afya haiwatambui kabisa wale wote waliosomea Microbiology au kwa maneno mengine haiwatambui Microbiologists. Wapo tayari kuwaajili Laboratory Technologists na si wao. Hali hii inasikitisha sana.
 
MUHAS Ipo Programme inaitwa Bachelor Medical laboratory sciences in Microbiology and Immunology wanafanya Hizo kazi pia wapo wanojifunzia kazini Diploma/Degree holder pia wanafanya Hizo kazi mkuu

Typed Using KIDOLE
 
Profesa umeongea jambo la msingi sana ambalo baadhi yetu tunalipigia kelele sana.

Nchi inahitaji wataalamu wa aina hii sasa si tu sababu ya clinical application ila hata masuala ya security ya taifa.

Tunahitaji wataalamu wa hivi ndani ya jeshi,ndani ya tiss na taasisi zetu nyeti za sayansi ya biolojia na kemia maana dunia inatutaka tuwe hivyo sasa.

Kama wenzetu duniani huko wana elimu na watu ambao wapo capable kutufanya the whole nation kuwa wagonjwa within weeks then na sisi sasa tunahitaji watetezi wetu maana huko tuendako si kuzuri hata kidogo.

We need our own "Major General Chen Weis" and Professor Shi Zenglis"(if you know what i mean).
 
Wale wote wataalamu wa haya mambo ya madawa huu ndio muda wa kulisaidia Taifa.
 
uko nondo sana mkuu
 
Report ya tume iliyochunguza maabara ya taifa..imeonyesha kuna upungufu wa wataalamu wa mambo haya tumieni hii fursa..

#MaendeleoHayanaChama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well Elaborated
 
Wazo zuri.

Tanzania tunayo manpower.

Kilichobaki ni kuiorchestrate tu vizuri kuleta maendeleo.

Nyie wanasayansi watafiti msiwaze, nikiokota hela wooooooooote ntawapa nafasi kwenye lab(research facility) mjimwayemwaye na maresearch yenu.
 
Hakika umenena: NIMR inao MDs na manesi zaidi maana tafiti zake ni clinical.

Lab wapo kwa mbaaaaaaali sana.

Wafamasia sasa haaaaaaaaaah 😂😂😂. Inatia huruma ni kuhandle tu research products. Dawa zinazofanyiwa clinical.

Kwani mnadhan kwa nini hadi leo hatuna dawa famasi ambayo imeanzia kwenye tiba-asili!!?

Ila kipindi kile walijitahidi wakatuletea hata NIMRICAF. Yeah that is commendable👊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…