Uwezo wetu wa akili ni mdogo mno, teknolojia yetu inaenda kama konokono, binadamu anachekwa kila kona

Yote hayo yameshajadiliwa huko juu, inabaki kwako tu ikiwa unao uwezo wa kusoma kwa ufahamu na nia ya kujifunza…. hatua zipo ila ndogo ndogo mno ila wengi wajinga wa aina yako hushangilia sana.

JIFUNZENI.
Hakuna kimejadiliwa ambacho ni sensible zaidi ya modest personal opinions au unadhani technologically developments zinafanyika overnight?
Unakimbia nje ya mada na kuleta excuses bila hoja.

3500 to 7000 hiyo ni hatua ndogo?
Ndogo kwa kulinganisha na kipi ambacho ni kikubwa?
Unadefine vipi kwamba hii ni ndogo?

Ndio maana nikakuuliza.

Developments gani unategemea in 100 years?
Constructing artificial wormholes for interstellar departures or the ability to travel at the speed of light?

Mpaka sasa hakuna ulichojibu ambacho kinareflect kilicho ndani ya mada zaidi ya personal opinions.

Mjinga ni yoyote anayepinga bila facts wala proofs.
By definition mjinga ni wewe.
 
...Binadamu anachekwa kila kona.... Anachekwa na akina nani..!? Paka, Ngedere, Simba etc au na akina nani!?
 
Wewe umeelewa nini mkuu?
Jamaa amejitoa ufahamu kwa leo tu ila akijirudi na kutafakari ataona he was terribly wrong somewhere. Na ndio maana nikasema watamuelewa wachache kulingana na state yake ya Excitement to him any person commenting the wrong stuffs is not that intelligent.

Let him be this way I tell you after sometime he 'll wish he never pinned down the words from the very beginning
 
Mada nzuri sana na hatutakiwi kuijadili kwa kutoana akili, ukweli ni kuwa teknoloji tunayotumia leo iko kibiashara zaidi (namaanisha kuna watu wanadhibiti ni kwa kiasi gani tutumie na kipi kitakachofuata).
Teknoloji tunayotumia leo ilishapangwa miaka mingi sana na tayari waliyoishika dunia wanajuwa baada ya miaka mingi mbele kutakuwa na aina gani ya teknoloji.
 
akili ndogo kama yako ndio inafikiria modification...mi naongelea invention brother...kama huku africa ndo kabisa mtu anazaliwa hadi kufa hajagundua chochote hata style ya kula mbususu
maishapopote Hebu twambie umegundua kitu gani? kitu gani unacho katika akili yako .Ni kweli waliogundua mambo mengi duniani hawakusoma lkn walikuwa na akili si za kawaida .Wacha nikupe 1950 India ndio imefungua chuo cha IT leo matunda yake yanaonekana .
 
Niliwaza unasemea Waafrika tu , kumbe ni wote. Je wajua Wayahudi, ndio wenye akili ya juu sana duniani. Maendeleo yote duniani ni Wayahudi.
Wacha zako hizo mayahudi gani .waislamu ndio waliaonza kugundua mambo duniani ,hao mayahudi wameiba elimu kwa waislamu .Mbona mpk leo wameshindwa kuwa na nchi yao kama wana akili sana kwa sababu ya ujinga wao na wewe unakuwa mjinga kama wao .Kuna kitu kinaitwa Zionist hawa ndio wanaofanya ufisadi katika ardhi hii .Mungu kamuumba binadamu vitu vyote ktk dunia vimtumikie binadamu .
 
Sijaona malalamiko yako yanataka nin, wew eng unakuja na malalamiko tena juu y theory za watu unazikosoa bila heshima wala angalizo lolote,

mkuu naomba nikwambie ukweli kwa hili wew ni tatizo!!!

Umesema sisi bado okay huenda ni sawa lakin umeturinganisha na nan?? Kutumia tec ya zaman ni jambo kawaida tuu chuma kiligunduliwa zama za zaman tunatumia mpka leo japo tumeboresha.

Uzi wako ukiusoma juu juu nikama unapoint sana hiv na vitu muhimu unauliza, lakin ukianza tafakari unagundua huu ndio ujinga wetu wasomi wa tz maana haya uliyo yauliza yatabaki hayana majibu milele na milele na hata wew hapo huenda hauna hata mpango wa kufanyia kazi hata moja kati ya haya sasa kwanin nikupongeze.

namaliza kwa kusem wew n eng please njoo na hata soln zozote kuhusu haya achan na maswali ya kusadikika na kufikirika...... mfano umesema Nasa wanatumia radio wave wewe njoo na mbadala wake, bloototh na infrared nazo njoo na mbadala wake tuelewe.
 
Ukila na kipofu usimshike mkono
 
Mwanafalsafa wa kale Socrates, alisema binadamu hatujui kitu! Sawa ila kwa walipofikia wenzetu katika technology wapo mbali. Ungesema sisi Waafrika poa! Tunaishia kuchezea Smart phones bila kujua kinachoendelea. Wenzetu walikuja Afrika kutumyonya, ni kwa nini Mwafrika nae asiende Ulaya kuwanyonya? Walituletea dini zao, tungewapelekea za kwetu, ila tulipokea tu bila kuhoji.
 
Tatizo tuna baniwa mno. Ukivumbua tu wana kuua.
Haya yooote yalikuwepo tena hapo Misri tu ni mali zetu.wanachofanya leo ni kucopy na kupaste wao. Na sisi tuna binywa mpaka hatupumui.

Angalia kote Duniani tulipoishi sisi km watumwa ndo penye maendeleo makubwa ya technologia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…