Uwoya amnyima penzi dogo janja tangu Ndiku afe.

wewe aje khanith mmoja anakuuliza habari ya mgegedo wako na mkeo utamjivu nini?hao wanaoulizia wakapimwe akili hawana adabu hata kidogo !mwanamme hanyimwi anaweza kuringishiwa tu lakini kubandua utabandua tu
 
Mmejuaje? Kama sio umbea . 2, Dogo inasekana ana tango sio kibamia. 3, wanatia fitna ili wachukue hasa mashangingi wa Dar
 
Mmejuaje? Kama sio umbea . 2, Dogo inasekana ana tango sio kibamia. 3, wanatia fitna ili wachukue hasa mashangingi wa Dar
Umbea kwa kwenda mbele [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata wewe pia mbeya mwenzetu
 
Kama we mwandishi wa habari basi chukua tuzo aisee. We hizi habari za chumbani tena uvunguni milango na mageti yakiwa yamefungwa umezipataje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…