Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Mkuu Mimi nilikua naongea na The Valiant siyo wewe!sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mimi nilikua naongea na The Valiant siyo wewe!sawa.
Nani anatumia jina la mtanashati?Mkuu Mimi nilikua naongea na The Valiant siyo wewe!
Hatari sana sheikh. Cameron David siku hizi anafanikiwaMkuu Mimi nilikua naongea na The Valiant siyo wewe!
Au na ww ni muhanga wa hizi makituHiv wa bongo nani katuroga jamani mpk mambo ya ndani mnafatulia?
[emoji2] [emoji2] bro.. Kama mwanaume? Kuna bro mwanamke[emoji3] [emoji3] [emoji3]bro kama wewe ni mwanaume aisee shida ipo
[emoji2] [emoji2] bro.. Kama mwanaume? Kuna bro mwanamke[emoji3] [emoji3] [emoji3]
wewe aje khanith mmoja anakuuliza habari ya mgegedo wako na mkeo utamjivu nini?hao wanaoulizia wakapimwe akili hawana adabu hata kidogo !mwanamme hanyimwi anaweza kuringishiwa tu lakini kubandua utabandua tuKwa habari za kunyapia nyapia ni kwamba Irene Pancras Uwoya (Sheila Abdul) aanza kumchukia dogo janja kiasi cha kuyumbisha penzi lao na mbaya zaidi amekuwa akimnyima penzi dogo janja na mara nyingi hupenda kumkwepa kwepa janjaro na kiasi fulani anahisi kama janjaro ndo chanzo cha mumewe kipenzi Hamadi Kataut kufariki.
Dogo janja mara kwa mara akitafutwa kujibu suala hili la kunyimwa penzi na uwoya amekuwa akibabaika sana na muda mwengine hupenda kujibu nje ya mada ili asiendelee kuulizwa.
yaani kuna watu wanachefua kwa kweli hivi kweli unaweza kutaka kujua kama mtu fulani anapewa au hapewi?bro kama wewe ni mwanaume aisee shida ipo
Hivi wale wanaotangaza kipindi cha Shilawadu ni wanawake??bro kama wewe ni mwanaume aisee shida ipo
Umbea kwa kwenda mbele [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata wewe pia mbeya mwenzetuMmejuaje? Kama sio umbea . 2, Dogo inasekana ana tango sio kibamia. 3, wanatia fitna ili wachukue hasa mashangingi wa Dar
sawaUdaku =Udaku
Mara nyingi tu ,tena kabla hajamuoa.
Zitakuwa Frustration maana Viwanda mpaka sasa hakuna..Hiv wa bongo nani katuroga jamani mpk mambo ya ndani mnafatulia?
Naomba niaminishe jirani. Mi mpk leo siwaamini hawa na tukio lao!Wapambane na hali zao tuu maana hamna namna
Jitahidi kuamini Jirani.... Dogo ndo kaweka ndani mutu!!!Naomba niaminishe jirani. Mi mpk leo siwaamini hawa na tukio lao!