UWT yalaani vikali BAWACHA kuchoma vitenge vyenye picha ya Rais Samia, yasema ni upuuzi na utoto mkubwa

UWT siyo wapuuzi kama hao wakwenu wasiojitambua.

..RAISI kasema wapinzani wameota MIKIA, na wanataka kuharibu AMANI. Watu wa hovyo kiasi hicho hawastahili hisani ya kuwa ktk mabango yenye picha ya Raisi. Mabango yachomwe moto.
 
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
Baado hamjasema
 
Kama. Hawana ushawishi ,hiyo UWT inatishika nini na kutoa matamko
 
Badala ya kukusanyika kulaani UFISADI wa kutisha na utekaji na mauaji,mnakusanyika bila Aibu kulaani vitenge,hata kama ndio kuishiwa Akili sio kwa kiwango hk,inasikitisha na inauma sana basi tu.
 
Badala ya kukusanyika kulaani UFISADI wa kutisha na utekaji na mauaji,mnakusanyika bila Aibu kulaani vitenge,hata kama ndio kuishiwa Akili sio kwa kiwango hk,inasikitisha na inauma sana basi tu.

Kawasikitikie BAWACHA hao ndio wanapaswa kupewa Elimu na kufundwa vizuri.
 
Sasa kwanini wanawake wenzio wanahangaika na watu wasiojitambua?! Hadi kutoa laana? CWT siku ikiondokana na wanawake masimbe kama wewe itakaa kwenye mstari.
Hivi una akili nzuri kichwani mwako? Au umechanganyikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…