Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Wamepuuzwa maana hawajitambui.Basi ndiyo wamechoma sasa, mtawafanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepuuzwa maana hawajitambui.Basi ndiyo wamechoma sasa, mtawafanya nini?
Samia ndiyo mpuuzi mkubwa. Akili kisodaWamepuuzwa maana hawajitambui.
Huna akili kabisa.umekosa adabu kabisa.Samia ndiyo mpuuzi mkubwa. Akili kisoda
Mimi nathamini sana michango yako ndugu yangu .huyu mwamba naboreka mno kusoma mabandiko yake yakichawachawa
Wala siweweseki, najua nisemalo, nina uhakika wa zaidi ya 100%....Utaweweseka sana mwaka huu mpaka upasuke kwa presha ya wivu na chuki binafsi
Kama unataka kunywa sumu UFE ewe uliyekosa adabu na malezi mazuri ya wazazi wako.Wala siweweseki, najua nisemalo, nina uhakika wa zaidi ya 100%....
Wewe na wenzako ndio mna ajira za muda tu kwa kuwa Jezebel yuko hapo alipo. Mnaweweseka maslahi yenu maovu kushambuliwa. Mnajua mkinyamaza, sisi attackers wa uovu wenu tutashinda na definite itakuwa hivyo...
Haijalishi...
Huyo "Ngariba" wenu hana muda mrefu. Ataondoka na wewe na ID yako ya Lucas Mwashambwa...
Mimi The Palm Beach niko hapa. Najua sooner and very sooner nitakutafuta na nisikuone tena..
Stay tuned for now...
wasNdugu zangu Watanzania,
Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika.
Imelaani vikali sana na kwa nguvu zote hatua za Baraza la wanawake wa CHADEMA ambalo kiuhalisia halina ushawishi wa aina yoyote ile hapa Nchini wala kujulikana majukumu yake wala kazi yake wala msimamo wake wala shughuli yake kuu wala mchango wake kwa wanawake wa Tanzania. Hatua yake ya kuchoma Vitenge Vyenye picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Tamko hilo lililotolewa na Mwenyekiti wake Mama Marry Chatanda limekiita kitendo hicho cha kipuuzi na kitoto sana . Lakini pia jumuiya hiyo ya wanawake wa CCM yenye wanachama zaidi ya Millioni Sita imesema madai yote ya Bawacha ni ya uongo,hayana ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.kwa kuwa kila mtu anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Ikiwepo ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya mia tatu ambavyo hata Bawacha wanakwenda kupata huduma, kupandisha Bejeti ya kilimo na mambo mengine mbalimbali yakiwepo ya ajira kwa vijana, miundombinu ,Elimu, Umeme n.k.Imesema pia kuwa vitenge hivyo walinunua wenyewe BAWACHA kutokana na imani yao kubwa kwa Rais Samia. Amevitaka vyombo vya dola kuwaacha na kutowakamata na badala yake watapambana nao kisiasa.maana wanajuwa kuwa wanataka wapate promo kwa kukamatwa.
Amegusia pia mbinu za CHADEMA ambazo zimekuwa zikifanywa za vitendo vya kihalifu ,vurugu na utekaji kama ambavyo zilielezwa na dkt Slaa katika kile kinachoitwa Nyuma ya Pazia. Mwenyekiti huyo shupavu na ambaye amekuwa mwimba Mkali kwa Bawacha hii Dhaifu amesema kwa sasa wanakwenda site kwa kishindoo.ikumbukwe ya kuwa UWT ndio huamua hata ushindi wa Mgombea Urais kutokana na uwingi wake wa wanachama ,ushawishi wake pamoja na kujitokeza kwake kwa wingi katika kupiga kura katika kila uchaguzi.
Lakini pia amesema BAWACHA wasiishie tu kuchoma Vitenge bali waeleze ni vipi mkutano huo ulifanikiwa kufanyika
View attachment 3112387
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chama cha wasimbe sugu wasiokua na waume kuanzia mwenyekiti wa uwt mpka uvccm jokate...lucy nawe msimbe suguWanatia aibu sana BAWACHA.
CCM haina mambo ya kijinga jinga na kipuuzi kama hayo wafanyayo Bawacha kuchoma Vitenge. Ndio maana wananchi wamewaona Bawacha kama watu wasio timamu kichwani na wasio jitambua.
Mkuu hiyo ni aina ya maandamano yasiyo hitaji taarifa kwa polisi. Taratibu formula ya kufanya maandamano inabadilika!!!Wanatia aibu sana BAWACHA.
Sema wewe umewaona wapuuzi siyo wananchi wamewaona wapuuzi. Unadhani UWT ndo wananchi pekee yao au Wana ccm ndo wananchi au? Acha upuuzi wako!CCM haina mambo ya kijinga jinga na kipuuzi kama hayo wafanyayo Bawacha kuchoma Vitenge. Ndio maana wananchi wamewaona Bawacha kama watu wasio timamu kichwani na wasio jitambua.
Basi, basi, basiHao
was
Chama cha wasimbe sugu wasiokua na waume kuanzia mwenyekiti wa uwt mpka uvccm jokate...lucy nawe msimbe sugu
Hakizami na hakitazama. Badala tusaidiane kujua ndugu zetu wanapelekwa wapi. Ninyi mmerogwa na ccm kumsifia kila kitu. Mjomba wako atakapokuwa haonekani hautaongea upuuzi wako.Acha ujinga wako.pambaneni kuokoa chama chenu kinachoendelea kuzama shimoni.
Unajitoa akili, unajua sana sababuKuvichoma ni ishara ya nini ,nielewesheni tafadhali
UWT si cwtKama. Hawana ushawishi ,hiyo CWT inatishika nini na kutoa matamko
BAWACHA WAAMUA KUMUONYESHA RAIS HASIRA ZAO KWA VITENDO WACHOMA VITENGE VYOTE WALIVYOPEWA
View: https://m.youtube.com/watch?v=2oWOBJ4u120
Swali fikirishi hivi haya matamko huwa yanafanyiwa kazi?, ama yanachukuliwa kama polojo tu, kwa maana mimi nadhani tunaishi kwenye jamii ya bora liende, (kanyaga twende)Katika siku za hivi karibuni, tamko la Umoja wa Wananchi Tanzania (UWT) kuhusu utekaji, mauaji, na watu kupotea limeibua mijadala mikali katika jamii. Ingawa lengo la tamko linaweza kuonekana kuwa na nia njema, ni muhimu kuzingatia ukweli na hali halisi zinazohusiana na masuala haya. Katika andiko hili, nitapinga tamko hilo kwa kuangazia mambo kadhaa muhimu.
Kwanza: Uhalisia wa Utekaji na Mauaji
Tamko la UWT linaweza kuonekana kama jitihada za kukabiliana na uhalifu, lakini linapuuzilia mbali ukweli kwamba vitendo vya utekaji na mauaji havikabiliwi kwa njia sahihi. Kwa mfano, kuna tuhuma nyingi kuhusu kushindwa kwa vyombo vya usalama katika kutekeleza majukumu yao. Badala ya kutunga sheria na kutoa tamko, ni muhimu kuangalia jinsi vyombo hivi vinavyofanya kazi na kama vinapata rasilimali za kutosha. Mabadiliko ya kweli yanahitaji hatua za kisera na kiutendaji, siyo maneno matupu.
Pili: Tofauti za Kijamii
Swali la kwanini watu Zanzibar hawatekwi, hawapitei na kuuwawa ni la muhimu katika kujadili tamko hili. Katika Zanzibar, hali ya usalama inaonekana kuwa bora zaidi. Hii inatokana na sababu nyingi, ikiwa ni pamoja na ushirikiano mzuri kati ya raia na vyombo vya usalama, pamoja na historia tofauti ya kisiasa. Badala ya kujifunza kutoka kwa hali hiyo, UWT inapaswa kuangalia ni kwa jinsi gani inaweza kuboresha hali katika maeneo mengine ya nchi. Kujaribu kulinganisha Zanzibar na Tanganyika bila kuelewa tofauti hizo ni kupuuza ukweli.
Tatu: Wajibu wa Kila Mtu
Kutoa tamko la kupotea au kuuwawa ni wajibu wa kila mwanajamii, siyo wa UWT pekee. Kila mtu anapaswa kuwa na sauti katika kupinga vitendo vya uhalifu, lakini UWT inapaswa kuweka mazingira mazuri ya watu kutoa taarifa bila hofu. Kila mtu anayo haki ya kujisikia salama, na ni wajibu wa serikali kuunda mazingira hayo. UWT inapaswa kuhamasisha jamii kushirikiana na vyombo vya usalama badala ya kutoa tamko ambalo linaweza kuonekana kama kutafuta umaarufu wa kisiasa.
Nne: Mifumo ya Usalama
Serikali inapaswa kuimarisha mifumo ya usalama ili kuhakikisha kuwa raia wanapata kinga wanayostahili. Badala ya kutoa tamko, ni muhimu kuwekeza katika mafunzo na rasilimali za kutosha kwa vyombo vya usalama. Hii itasaidia kuwajengea uwezo na kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi. UWT inapaswa kuangazia jinsi ya kuboresha mifumo hii badala ya kuishia kwenye matamko yasiyo na maana.
Tano: Msingi wa Kisheria
Tamko la UWT linaweza pia kuathiri misingi ya kisheria na haki za binadamu. Katika nchi ambayo inajivunia demokrasia, ni muhimu kuhakikisha kuwa haki za binadamu zinaheshimiwa. Hii inamaanisha kuwa watu wanapaswa kuwa na haki ya kutoa taarifa na kutoa maoni bila hofu ya dhuluma. UWT inapaswa kuzingatia umuhimu wa haki hizi katika tamko lake na kuhakikisha kwamba haki za raia hazipingwi.
Hitimisho
Katika hitimisho, ni muhimu kuelewa kwamba tamko la UWT linahitaji mapitio makubwa. Badala ya kutoa tamko, ni lazima kuwe na hatua za vitendo ambazo zitasaidia kuzuia utekaji na mauaji. Ushirikiano kati ya jamii na vyombo vya usalama ni muhimu, na UWT inapaswa kuhamasisha hii badala ya kutoa matamko yasiyo na maana.
Ni wajibu wa kila mwanajamii kulinda haki zao na kuhakikisha kuwa wanaishi katika mazingira salama. Tunapaswa kuwa na sauti moja katika kupinga vitendo vya kikatili na kuhakikisha kuwa haki za binadamu zinaheshimiwa. UWT inapaswa kuzingatia mabadiliko yanayohitajika katika jamii na kuachana na matamko yasiyo na msingi.