Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
UWT mimi nimekuwa nafahamu kama ni kifupi cha umoja wa wanawake Tanzania lakini mwandishi wa uzi huu anasema ni umoja wa wananchi Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimesema hivyoUWT mimi nimekuwa nafahamu kama ni kifupi cha umoja wa wanawake Tanzania lakini mwandishi wa uzi huu anasema ni umoja wa wananchi Tanzania
Bawacha wamejidhalilisha sanaWatu Wanaogopa Moto Sana Mpaka Wanatoa Tamko
Millioni 7? naona umechanganyikiwa sasa.Mkuu hiyo ni aina ya maandamano yasiyo hitaji taarifa kwa polisi. Taratibu formula ya kufanya maandamano inabadilika!!!
Mwashambwa, usifikiri wapiga kura milion 7 wa upinzani ni jambo dogo!!!
Hivi UWT walitoa wao hivyo vitenge au? Wanajua makubaliano yake na Bawacha.Bawacha wamejidhalilisha sana
UWT wangeeapotezea tu
Wakiongozwa na Lucas MwashambwaUwt naona wamechachama
Ova
Lucas Mwashamba Katibu mwenezi wa UWT katika moja na mbili zako.UWT siyo wapuuzi kama hao wakwenu wasiojitambua.
Uwe na adabu dogo .Lucas Mwashamba Katibu mwenezi wa UWT katika moja na mbili zako.
Sas apo itakuwaje mkuu na vishachomwa tayari hii ni dharau kwa mamlakaNdugu zangu Watanzania,
Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika.
Imelaani vikali sana na kwa nguvu zote hatua za Baraza la wanawake wa CHADEMA ambalo kiuhalisia halina ushawishi wa aina yoyote ile hapa Nchini wala kujulikana majukumu yake wala kazi yake wala msimamo wake wala shughuli yake kuu wala mchango wake kwa wanawake wa Tanzania. Hatua yake ya kuchoma Vitenge Vyenye picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Tamko hilo lililotolewa na Mwenyekiti wake Mama Marry Chatanda limekiita kitendo hicho cha kipuuzi na kitoto sana . Lakini pia jumuiya hiyo ya wanawake wa CCM yenye wanachama zaidi ya Millioni Sita imesema madai yote ya Bawacha ni ya uongo,hayana ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.kwa kuwa kila mtu anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Ikiwepo ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya mia tatu ambavyo hata Bawacha wanakwenda kupata huduma, kupandisha Bejeti ya kilimo na mambo mengine mbalimbali yakiwepo ya ajira kwa vijana, miundombinu ,Elimu, Umeme n.k.Imesema pia kuwa vitenge hivyo walinunua wenyewe BAWACHA kutokana na imani yao kubwa kwa Rais Samia. Amevitaka vyombo vya dola kuwaacha na kutowakamata na badala yake watapambana nao kisiasa.maana wanajuwa kuwa wanataka wapate promo kwa kukamatwa.
Amegusia pia mbinu za CHADEMA ambazo zimekuwa zikifanywa za vitendo vya kihalifu ,vurugu na utekaji kama ambavyo zilielezwa na dkt Slaa katika kile kinachoitwa Nyuma ya Pazia. Mwenyekiti huyo shupavu na ambaye amekuwa mwimba Mkali kwa Bawacha hii Dhaifu amesema kwa sasa wanakwenda site kwa kishindoo.ikumbukwe ya kuwa UWT ndio huamua hata ushindi wa Mgombea Urais kutokana na uwingi wake wa wanachama ,ushawishi wake pamoja na kujitokeza kwake kwa wingi katika kupiga kura katika kila uchaguzi.
Lakini pia amesema BAWACHA wasiishie tu kuchoma Vitenge bali waeleze ni vipi mkutano huo ulifanikiwa kufanyika
View attachment 3112387
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ila nataka tupime upepo yule wa kyela vs hawa, unganisha codesWamama wapuuzi tu hao
Labda hiyo ndio njia ya BAWACHA kuuwa nguvu hasi ya ....!!Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni manungayembe tuWamama wapuuzi tu hao
Usiseme na watanzania,usitusemee,tupo wengi tunaona watu wanatekwa na kuuwawa,kama Mtanzania unayefurahia haya ni WeweBawacha hawana watu wenye akili Timamu na wanaojitambua wanaoweza kuwaunga mkono.ndio maana unaona wamepuuzwa na kudharaulika sana kwa watanzania
wamefanya kazi nzuri bawacha piga njiti hizo takataka huyu sa100 apingwe kwa vitendoNdugu zangu Watanzania,
Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika.
Imelaani vikali sana na kwa nguvu zote hatua za Baraza la wanawake wa CHADEMA ambalo kiuhalisia halina ushawishi wa aina yoyote ile hapa Nchini wala kujulikana majukumu yake wala kazi yake wala msimamo wake wala shughuli yake kuu wala mchango wake kwa wanawake wa Tanzania. Hatua yake ya kuchoma Vitenge Vyenye picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Tamko hilo lililotolewa na Mwenyekiti wake Mama Marry Chatanda limekiita kitendo hicho cha kipuuzi na kitoto sana . Lakini pia jumuiya hiyo ya wanawake wa CCM yenye wanachama zaidi ya Millioni Sita imesema madai yote ya Bawacha ni ya uongo,hayana ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.kwa kuwa kila mtu anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Ikiwepo ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya mia tatu ambavyo hata Bawacha wanakwenda kupata huduma, kupandisha Bejeti ya kilimo na mambo mengine mbalimbali yakiwepo ya ajira kwa vijana, miundombinu ,Elimu, Umeme n.k.Imesema pia kuwa vitenge hivyo walinunua wenyewe BAWACHA kutokana na imani yao kubwa kwa Rais Samia. Amevitaka vyombo vya dola kuwaacha na kutowakamata na badala yake watapambana nao kisiasa.maana wanajuwa kuwa wanataka wapate promo kwa kukamatwa.
Amegusia pia mbinu za CHADEMA ambazo zimekuwa zikifanywa za vitendo vya kihalifu ,vurugu na utekaji kama ambavyo zilielezwa na dkt Slaa katika kile kinachoitwa Nyuma ya Pazia. Mwenyekiti huyo shupavu na ambaye amekuwa mwimba Mkali kwa Bawacha hii Dhaifu amesema kwa sasa wanakwenda site kwa kishindoo.ikumbukwe ya kuwa UWT ndio huamua hata ushindi wa Mgombea Urais kutokana na uwingi wake wa wanachama ,ushawishi wake pamoja na kujitokeza kwake kwa wingi katika kupiga kura katika kila uchaguzi.
Lakini pia amesema BAWACHA wasiishie tu kuchoma Vitenge bali waeleze ni vipi mkutano huo ulifanikiwa kufanyika
View attachment 3112387
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wapuuzi ni wale waliochoma vitenge.Wamama wapuuzi tu hao