Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #121
Wapige moto akili zao kwanza ili zipate kujitambua.wamefanya kazi nzuri bawacha piga njiti hizo takataka huyu sa100 apingwe kwa vitendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapige moto akili zao kwanza ili zipate kujitambua.wamefanya kazi nzuri bawacha piga njiti hizo takataka huyu sa100 apingwe kwa vitendo
Dkt Slaa aliwataja sana CHADEMA juu ya uhuni wenu huoVitenge ndio wameona vya maana,kumwambimbia mwenyekiti jinsi watu wanavyosubiria kwa hamu ripoti ya watu kutekwa, kuuwawa,Wewe unakuja na za kipuuzi kuchomwa vitenge,kweli heli Mungu akupe Hekima na kuamua kwa haki,bila kuwa chawa ovyo kama Mwashambwa!
Mbunguni ndio nini? Naona umechanganyikiwa kabisa.Unapamba thread kama unaenda mbunguni,UWT ndo kitu Gani? Vipi zingeungua tu wangelaumu moto? Ccm imeanzisha Siasa za kishamba acheni ushamba uendeleeeeee
Taifa zima linagalagala kumshukuru Rais Samia kwa kazi nzuri na kubwa aliyoifanya katika Taifa letu ndani ya muda mfupi.ambayo imekuwa ni kama miujiza au ndoto.Nendeni kizimkazi mkaendelee kusifu na kugalagala chini😄
Ukiwa na vijana kama Wewe niTaifa linaangamia, labda kama unataka kujua watu wanataka Nini,lakini kama ndiyo ya moyoni mwako haya!Bora mbuzi utamla nyama .Dkt Slaa aliwataja sana CHADEMA juu ya uhuni wenu huo
sa100 Aliungua do maana uwt walijitokeza na akina mshamba na dua lao ya kukuKwani waliopochoma vitenge rais aliungua?
Muache haraka sana tabia zenu za kutengeneza matukio .si umeona yule mlevi Vitusi Nkuna aliyelewa na kugonga gari la watu na kusingizia kuwa alitaka kutekwa na watu wasiojulikanaUkiwa na vijana kama Wewe niTaifa linaangamia, labda kama unataka kujua watu wanataka Nini,lakini kama ndiyo ya moyoni mwako haya!Bora mbuzi utamla nyama .
Bawacha walinunua 😂Hivi UWT walitoa wao hivyo vitenge au? Wanajua makubaliano yake na Bawacha.
Yaani kipi bora kuchoma perege ama vitenge, tumia akili mnemba kuelewa codesNimemiss perege, can you unlock the codes
We wa home umerogwa!Muache haraka sana tabia zenu za kutengeneza matukio .si umeona yule mlevi Vitusi Nkuna aliyelewa na kugonga gari la watu na kusingizia kuwa alitaka kutekwa na watu wasiojulikana
Ndugu zangu Watanzania,
Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika.
Imelaani vikali sana na kwa nguvu zote hatua za Baraza la wanawake wa CHADEMA ambalo kiuhalisia halina ushawishi wa aina yoyote ile hapa Nchini wala kujulikana majukumu yake wala kazi yake wala msimamo wake wala shughuli yake kuu wala mchango wake kwa wanawake wa Tanzania. Hatua yake ya kuchoma Vitenge Vyenye picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Tamko hilo lililotolewa na Mwenyekiti wake Mama Marry Chatanda limekiita kitendo hicho cha kipuuzi na kitoto sana . Lakini pia jumuiya hiyo ya wanawake wa CCM yenye wanachama zaidi ya Millioni Sita imesema madai yote ya Bawacha ni ya uongo,hayana ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.kwa kuwa kila mtu anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Ikiwepo ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya mia tatu ambavyo hata Bawacha wanakwenda kupata huduma, kupandisha Bejeti ya kilimo na mambo mengine mbalimbali yakiwepo ya ajira kwa vijana, miundombinu ,Elimu, Umeme n.k.Imesema pia kuwa vitenge hivyo walinunua wenyewe BAWACHA kutokana na imani yao kubwa kwa Rais Samia. Amevitaka vyombo vya dola kuwaacha na kutowakamata na badala yake watapambana nao kisiasa.maana wanajuwa kuwa wanataka wapate promo kwa kukamatwa.
Amegusia pia mbinu za CHADEMA ambazo zimekuwa zikifanywa za vitendo vya kihalifu ,vurugu na utekaji kama ambavyo zilielezwa na dkt Slaa katika kile kinachoitwa Nyuma ya Pazia. Mwenyekiti huyo shupavu na ambaye amekuwa mwimba Mkali kwa Bawacha hii Dhaifu amesema kwa sasa wanakwenda site kwa kishindoo.ikumbukwe ya kuwa UWT ndio huamua hata ushindi wa Mgombea Urais kutokana na uwingi wake wa wanachama ,ushawishi wake pamoja na kujitokeza kwake kwa wingi katika kupiga kura katika kila uchaguzi.
Lakini pia amesema BAWACHA wasiishie tu kuchoma Vitenge bali waeleze ni vipi mkutano huo ulifanikiwa kufanyika
View attachment 3112387
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
BAWACHA WAAMUA KUMUONYESHA RAIS HASIRA ZAO KWA VITENDO WACHOMA VITENGE VYOTE WALIVYOPEWA
View: https://m.youtube.com/watch?v=2oWOBJ4u120
Mimi ni mzima.We wa home umerogwa!
Hivi unawezaje kuanza kukimbizana na watu unaojuwa wana matatizo.Kama mna ubavu, Wakamateni na kuwashitaki kama mlivyomfanyia yule kijana wa watu na picha yake.
Tena wawapoteze kama walivyo mpotezaKama mna ubavu, Wakamateni na kuwashitaki kama mlivyomfanyia yule kijana wa watu na picha yake.
Ndugu zangu Watanzania,
Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika.
Imelaani vikali sana na kwa nguvu zote hatua za Baraza la wanawake wa CHADEMA ambalo kiuhalisia halina ushawishi wa aina yoyote ile hapa Nchini wala kujulikana majukumu yake wala kazi yake wala msimamo wake wala shughuli yake kuu wala mchango wake kwa wanawake wa Tanzania. Hatua yake ya kuchoma Vitenge Vyenye picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Tamko hilo lililotolewa na Mwenyekiti wake Mama Marry Chatanda limekiita kitendo hicho cha kipuuzi na kitoto sana . Lakini pia jumuiya hiyo ya wanawake wa CCM yenye wanachama zaidi ya Millioni Sita imesema madai yote ya Bawacha ni ya uongo,hayana ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.kwa kuwa kila mtu anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Ikiwepo ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya mia tatu ambavyo hata Bawacha wanakwenda kupata huduma, kupandisha Bejeti ya kilimo na mambo mengine mbalimbali yakiwepo ya ajira kwa vijana, miundombinu ,Elimu, Umeme n.k.Imesema pia kuwa vitenge hivyo walinunua wenyewe BAWACHA kutokana na imani yao kubwa kwa Rais Samia. Amevitaka vyombo vya dola kuwaacha na kutowakamata na badala yake watapambana nao kisiasa.maana wanajuwa kuwa wanataka wapate promo kwa kukamatwa.
Amegusia pia mbinu za CHADEMA ambazo zimekuwa zikifanywa za vitendo vya kihalifu ,vurugu na utekaji kama ambavyo zilielezwa na dkt Slaa katika kile kinachoitwa Nyuma ya Pazia. Mwenyekiti huyo shupavu na ambaye amekuwa mwimba Mkali kwa Bawacha hii Dhaifu amesema kwa sasa wanakwenda site kwa kishindoo.ikumbukwe ya kuwa UWT ndio huamua hata ushindi wa Mgombea Urais kutokana na uwingi wake wa wanachama ,ushawishi wake pamoja na kujitokeza kwake kwa wingi katika kupiga kura katika kila uchaguzi.
Lakini pia amesema BAWACHA wasiishie tu kuchoma Vitenge bali waeleze ni vipi mkutano huo ulifanikiwa kufanyika
View attachment 3112387
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa kukazia, wizara ya afya ilishatoa takwimu kwamba kama walikuwa 4 mmojawao ana tatizo la afya ya akiliHivi unawezaje kuanza kukimbizana na watu unaojuwa wana matatizo.