Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #141
Hawana adabu kabisa hawa wanawake wa CHADEMA.BAWACHA wamekosa Adabu kwa Rais .. ila sababu mama ni mpole ..atawasamehe tu hawajui watendalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana adabu kabisa hawa wanawake wa CHADEMA.BAWACHA wamekosa Adabu kwa Rais .. ila sababu mama ni mpole ..atawasamehe tu hawajui watendalo
Unajua sana kushawishi ila uwe mkweli na utende Haki hata kama huamini uwepo wa Mungu,fuata pia katiba na Ahadi ya chama chako Mwashambwa!Mimi ni mzima.
Mbona wa kule kwenye perege kapotezwa baada yaBAWACHA wamekosa Adabu kwa Rais .. ila sababu mama ni mpole ..atawasamehe tu hawajui watendalo
Hivi unawezaje kuanza kukimbizana na watu unaojuwa wana matatizo.
Nani aliyempoteza?Sasa yule Kijana mliyempoteza yeye hamkujua alikuwa na matatizo .....!!?
Naona una matatizo makubwa sana kichwani mwake.Mnaochangia mkumbuke post hii imeandikwa na Mwanaume lkn nahisi alienda kwa P Diddy
Hisia za kijinga hizo.Wameonesha hisia zao ova.
Hakuna ujumbe wowote ule zaidi ya kuonyesha kuchanganyikiwa na kutokujitambua.Kwa hiyo kuchoma hivyo vitenge wanakuwa wamekusudia nini? Maana yake hasa ni nini? Je, unafikiri kuna ujumbe wowote watakuwa wameufikisha kwa mwenye picha? Au hata kwa wananchi? Siyo kwamba wamekosa hoja?
Nani aliyempoteza?
Weka weweMnajua wenyewe. Usiniulize mimi.
Waka na ile video ya yule Mzee wa Chadema anayedai kuwa sasa ni serikali yao hivyo Vijana wa Kizanzibar wote wapewe kazi na Tanzania ijiunge na OIC kabla Rais Mkiristo hajaingia madarakani.
N mtazamo tu wana maana yao.Hisia za kijinga hizo.
And what did you expect?Ndugu zangu Watanzania,
Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika.
Imelaani vikali sana na kwa nguvu zote hatua za Baraza la wanawake wa CHADEMA ambalo kiuhalisia halina ushawishi wa aina yoyote ile hapa Nchini wala kujulikana majukumu yake wala kazi yake wala msimamo wake wala shughuli yake kuu wala mchango wake kwa wanawake wa Tanzania. Hatua yake ya kuchoma Vitenge Vyenye picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Tamko hilo lililotolewa na Mwenyekiti wake Mama Marry Chatanda limekiita kitendo hicho cha kipuuzi na kitoto sana . Lakini pia jumuiya hiyo ya wanawake wa CCM yenye wanachama zaidi ya Millioni Sita imesema madai yote ya Bawacha ni ya uongo,hayana ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.kwa kuwa kila mtu anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Ikiwepo ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya mia tatu ambavyo hata Bawacha wanakwenda kupata huduma, kupandisha Bejeti ya kilimo na mambo mengine mbalimbali yakiwepo ya ajira kwa vijana, miundombinu ,Elimu, Umeme n.k.Imesema pia kuwa vitenge hivyo walinunua wenyewe BAWACHA kutokana na imani yao kubwa kwa Rais Samia. Amevitaka vyombo vya dola kuwaacha na kutowakamata na badala yake watapambana nao kisiasa.maana wanajuwa kuwa wanataka wapate promo kwa kukamatwa.
Amegusia pia mbinu za CHADEMA ambazo zimekuwa zikifanywa za vitendo vya kihalifu ,vurugu na utekaji kama ambavyo zilielezwa na dkt Slaa katika kile kinachoitwa Nyuma ya Pazia. Mwenyekiti huyo shupavu na ambaye amekuwa mwimba Mkali kwa Bawacha hii Dhaifu amesema kwa sasa wanakwenda site kwa kishindoo.ikumbukwe ya kuwa UWT ndio huamua hata ushindi wa Mgombea Urais kutokana na uwingi wake wa wanachama ,ushawishi wake pamoja na kujitokeza kwake kwa wingi katika kupiga kura katika kila uchaguzi.
Lakini pia amesema BAWACHA wasiishie tu kuchoma Vitenge bali waeleze ni vipi mkutano huo ulifanikiwa kufanyika
View attachment 3112387
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unatakaje ndugu yangu? Kwamba watu wake kimya? Kwamba watu wasizungumze na kulaani? Kwamba watu wasikemee ujinga na utoto huo?Kwa nini watu wanajali vitu vya kipuuzi wanasahau vitu vikubwa? Vitabu vya dini vimechomwa na hata picha za mitume sembuse hii. Hivi leo hii picha zangu vikichomwa kuna mtu atakayejali? Lakini kesho nikiwa Rais picha zangu zikichomwa maelfu watapiga kelele...
Hiki ndicho mlichombambika yule dogo mchoma picha.Hawa wanafundisha Watanzania kufanya Uasi na Ugaidi tu.
Washari sana haswa Maza wao!!Haya maccm ni mashetani makubwa sana!