UWT yalaani vikali BAWACHA kuchoma vitenge vyenye picha ya Rais Samia, yasema ni upuuzi na utoto mkubwa

Mnaochangia mkumbuke post hii imeandikwa na Mwanaume lkn nahisi alienda kwa P Diddy
 
Kwa hiyo kuchoma hivyo vitenge wanakuwa wamekusudia nini? Maana yake hasa ni nini? Je, unafikiri kuna ujumbe wowote watakuwa wameufikisha kwa mwenye picha? Au hata kwa wananchi? Siyo kwamba wamekosa hoja?
 
Hakuna ujumbe wowote ule zaidi ya kuonyesha kuchanganyikiwa na kutokujitambua.
 
Nani aliyempoteza?

Mnajua wenyewe. Usiniulize mimi.

Waka na ile video ya yule Mzee wa Chadema anayedai kuwa sasa ni serikali yao hivyo Vijana wa Kizanzibar wote wapewe kazi na Tanzania ijiunge na OIC kabla Rais Mkiristo hajaingia madarakani.
 
Weka wewe
 
And what did you expect?
 
Kwa nini watu wanajali vitu vya kipuuzi wanasahau vitu vikubwa? Vitabu vya dini vimechomwa na hata picha za mitume sembuse hii. Hivi leo hii picha zangu vikichomwa kuna mtu atakayejali? Lakini kesho nikiwa Rais picha zangu zikichomwa maelfu watapiga kelele...
 
Unatakaje ndugu yangu? Kwamba watu wake kimya? Kwamba watu wasizungumze na kulaani? Kwamba watu wasikemee ujinga na utoto huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…