Uyui, Tabora: Msafara wa Viongozi wa CHADEMA, wapata ajali wakiwa wanaelekea Kigoma

Pole zao. Wajue kuna 'poetic justice' waache kusingizia na kubeza Jamii. Sijui watasingizia nini safari hii. Maagizo kutoka juu??
Dola??
wu unaweza kuwasikia wakidai ni umasikini wa Barabara kwa sababu ni nyeusi, kuwa haiendi popote /imesimama/imelala na haishiriki katika uchumi. Yaani watailetea ubaguzi na siajabu wakaiita 'tabora gang'. Masafi ya chadema my foot!
 
Kwa nchi inayojitambua na raia wenye akili wanaopenda maendeleo hufanya kazi usiku na mchana ,
Ila kwa watu wenye akili za kimaskini kama wewe huona usiku ni muda wa wachawi , usiwe mpumbavu badilika
e
 
Kwani hawakutoa taarifa kwa kamati ya ufundi ya chams kuwa watasafiri. Ile methali isemayo ukitaka kuruka agana na nyonga hawa jamaa hawakuaga.
Lakini poleni siku nyingine mungu awaepushie mbali
 
Ndio faida za kukimbilia amshaamsha zisizo na tija usiku
 
Safari za usiku Tena hiyo Kaliua siyo nzuri.
 
Daah kumbe na jf bado kuna watu machizi yaan tofauti za chama zinakufanya uwe na chuki na wenzako mpaka kuwaombea kifo huu ni us*nge
 
Watu wema mnapataje ajali?
 
Upumbavu ni sifa kama ilivyo ufupi au unene (Mwalimu Nyerere). Wewe naona unaishi kikamilifu kwa kadiri ya sifa yako.

Nina hakika wenye akili watakupuuza kama unavyopuuzwa kwenye upuuzi mwingine ambao huwa unauweka hapa jukwaani.
Wewe nae ni mpuuzi pro max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…