Uzalendo ni nini?

Uzalendo ni nini?

Uzalendo ni kuipenda CCM na viongozi wake.
Uzalendo ni kutoikosoa CCM na viongozi wake.
Uzalendo ni kupenda viongozi wa CCM na kuwaimbia nyimbo nzuri wanazozipenda.
Uzalendo ni kuwasifia viongozi wa CCM popote pale ulipo na kuwaimbia nyimbo za kuwapamba.
 
Jeshi ni kigezo cha lazima uwe mzalendo!
Kwa upande Fulani nakubaliana na wewe maana jeshi wanafundishwa kulipenda na kulilinda taifa! Na hawashabikii chama chochote (kwa mujibu wa katiba), Uraiani huku mzalendo anatambulikaje?
 
Uraiani kuna Wafia Vyama tu
 
Ingekuwa ulishazaliwa wakati wa Vita ya Kagera hili lisingekusumbua

Tatizo la Vijana wa Leo badala ya kuwahi JKT nyie mnakimbilia UVCCM halafu mnajidanganya kuwa ni Wazalendo
The power of FAKE ID..!! Nilichmba handaki mwenzio pale nyuma ya nyumbani kwetu..!!! Na tuliwapokea wanajeshi walifanikiwa kurudi nyumbani.. Wengine walifia pale LUKUMBURU wakiwa wanarudi Songea.!! Walikatiza mitaa ya Zambia pale Lizaboni tulijipanga wote kuwashangilia..!! Hivyo kuhusu kuzaliwa wakati ule ondoa shaka
 
Kwahiyo JKT kwa mujibu wa sheria umekwenda?
 
Uzalendo WA nchi naonaga kama Utopoli fulani hivi. Maana mipaka kaiweka mzungu angeamua kukata kata kona wakati anaichora mimi Mkurya WA tz labda Leo ningekuwa mkenya na ningembiwa niwe mzalendo huko.
Kuna mtu alizaliwa akiwa Ussr then ghafla akawa raia WA Yugoslavia then kabla hajanywa Chai akawa raia WA Czechslovakia kabla msosi WA mchana akawa raia Raia WA Slovakia.
Yaani jamaa amekuwa mzalendo kwa nchi 4[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na Hana uhakika kama hiyo Slovakia itabaki hivyo hivyo.
 
Sasa niwe nimezaliwa miaka hiyo nisiende?

By the way, wale ambao hawakupita system za shule na JKT inamaana hawawezi kuwa wazalenda? Waza hili, wote mnasoma darasa moja lakini mmoja anakuwa wa kwanza na mwingine anakuwa wa mwisho..!!
 
😃😃😃😃Mzalendo wa mataifa manne?
 
Sasa niwe nimezaliwa miaka hiyo nisiende?

By the way, wale ambao hawakupita system za shule na JKT inamaana hawawezi kuwa wazalenda? Waza hili, wote mnasoma darasa moja lakini mmoja anakuwa wa kwanza na mwingine anakuwa wa mwisho..!!
Haiwezekani wote tupite jeshini, na haiwezekani kuwaona wananchi kwamba siyo wazalendo!!
 
Back
Top Bottom