Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Uzalendo ungekuwepo, iwapo mishahara na posho zingepunguzwa ili kunusuru walio masikiniViongozi je ni wazalendo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzalendo ungekuwepo, iwapo mishahara na posho zingepunguzwa ili kunusuru walio masikiniViongozi je ni wazalendo?
Hivi kweli wakikuhitaji umpeleke mzalendo utampeleka Mwigulu? Si watakushangaa? Labda kama alikuwa mzalendo ila sio kwa sasaSiyo lazima uwepo jeshini ila uwe ni mwanajeshi mfano Dr Mwigullu Nchemba
Viongozi 1/10 ndo mzalendo wa kweli.Viongozi je ni wazalendo?
WanafiqueDr Mwigullu Nchemba, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Bulaya hawa ni Wanajeshi kama hutaki Nuna!
Wanajeshi wa Tz wengi wana kadi ya ccm.Kwa upande Fulani nakubaliana na wewe maana jeshi wanafundishwa kulipenda na kulilinda taifa! Na hawashabikii chama chochote (kwa mujibu wa katiba), Uraiani huku mzalendo anatambulikaje?
Ndivyo.Kwahiyo wanatupumbaza kwa kutuita wazalendo au siyo?
Tatizo ni kuwa watanzania wengi hatuna tabia ya kupenda kusoma, kudadisi na kutafiti. Uzalendo au mzalendo ni term ambayo iko wazi sana na sidhani hata kama inahitaji mjadala. Ni sawa na mtu aje kuulizia hapa fisadi ni nani. Anyways hapa tupo watu wa backgrounds tofauti hivyo mtu anaweza kuuliza chochote.Habari za Jumapili wananchi wenzangu, nimekuwa nikijiuliza maana halisi ya uzalendo.
Tumekuwa tukisikia viongozi mbalimbali wakisisitiza wananchi kuwa wazalendo, na wakati mwingine wakilalamikia kinachoitwa "kupungua kwa uzalendo."
Kwakuwa JF ni home of Great thinkers iwapendeze kunijibu, je uzalendo ni nini haswa?
a) Je, uzalendo ni kuvaa tai yenye bendera ya taifa?
b) Au uzalendo ni kuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi?
c) Je, ni mambo yapi hayapaswi kufanywa na mzalendo?
d) Je, mzalendo wa taifa letu ana haki zipi?
e) Au uzalendo ni kuzishabikia timu zetu katika mashindano ya kimataifa?
f) Je, uzalendo wetu unapimwaje?
g) Viongozi wetu wanaohubiri uzalendo, wanakidhi vigezo vya kuitwa wazalendo??
Nawakaribisha nipate kufahamishwa kwa kina maana halisi ya uzalendo na mzalendo.
Una-complicate mambo bure kwa kitu kinachojulika wazi. Kuvaa tai yenye bendera ya Taifa siyo uzalendo.Kwenye post yangu nimeuliza je kuvaa tai yenye bendera ya Tanzania ni kipimo tosha cha uzalendo?
Mkuu hiyo maana inayosemwa kwenye kamusi unaiona kwa viongozi wetu?Tatizo ni kuwa watanzania wengi hatuna tabia ya kupenda kusoma, kudadisi na kutafiti. Uzalendo au mzalendo ni term ambayo iko wazi sana na sidhani hata kama inahitaji mjadala. Ni sawa na mtu aje kuulizia hapa fisadi ni nani. Anyways hapa tupo watu wa backgrounds tofauti hivyo mtu anaweza kuuliza chochote.
Najua kabisa unachokoza wajinga fulani ila tatizo ni kuwa walengwa wa mijadala kama hii hupenda sana kupoteza muda wa kujadili mambo mazito kwa kupotosha mambo yaliyo wazi. Hizi ndizo level zao na wakipata mijadala kama hii hupenda sana kupotosha.Mkuu hiyo maana inayosemwa kwenye kamusi unaiona kwa viongozi wetu?
Wakati wa utawala wa magufuli/ utawala wa giza na ghiriba palikuwa na kikundi kilichoitwa VIJANA WAZALENDO. ni kama usalama ndani ya Usalama. kiliongozwa na msemaji mkuu wa serikali anaitwa MSIGWA. Kilikuwa pale syansi. Hawa ndiyo walimpa kazi Musiba na wanahusika na kuua na kutesa wwote walioenda kinyume na jiweHabari za Jumapili wananchi wenzangu, nimekuwa nikijiuliza maana halisi ya uzalendo.