Uzalendo ni nini?

Uzalendo ni nini?

Sasa niwe nimezaliwa miaka hiyo nisiende?

By the way, wale ambao hawakupita system za shule na JKT inamaana hawawezi kuwa wazalenda? Waza hili, wote mnasoma darasa moja lakini mmoja anakuwa wa kwanza na mwingine anakuwa wa mwisho..!!
Ndio nimekupa mfano wa Zitto Kabwe, Dr Mwigullu Nchemba na Halima Mdee

Mzalendo atajiongeza tu ili ajikute jeshini vinginevyo huyo ni mfia itikadi tu

Narudia tena hakuna Uzalendo Bila jeshi

Pale Kenya kwa mfano kiipimo cha Uzalendo ni kama Babu au baba Yako alipigania Uhuru basi unafaidi matunda ya Urithi
 
Ndio nimekupa mfano wa Zitto Kabwe, Dr Mwigullu Nchemba na Halima Mdee

Mzalendo atajiongeza tu ili ajikute jeshini vinginevyo huyo ni mfia itikadi tu

Narudia tena hakuna Uzalendo Bila jeshi

Pale Kenya kwa mfano kilimo cha Uzalendo ni kama Babu au baba Yako alipigania Uhuru basi unafaidi matunda ya Urithi
Unachemka haswa
 
Habari za Jumapili wananchi wenzangu, nimekuwa nikijiuliza maana halisi ya uzalendo.

Tumekuwa tukisikia viongozi mbalimbali wakisisitiza wananchi kuwa wazalendo, na wakati mwingine wakilalamikia kinachoitwa "kupungua kwa uzalendo."

Kwakuwa JF ni home of Great thinkers iwapendeze kunijibu, je uzalendo ni nini haswa?

a) Je, uzalendo ni kuvaa tai yenye bendera ya taifa?
b) Au uzalendo ni kuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi?
c) Je, ni mambo yapi hayapaswi kufanywa na mzalendo?
d) Je, mzalendo wa taifa letu ana haki zipi?
e) Au uzalendo ni kuzishabikia timu zetu katika mashindano ya kimataifa?
f) Je, uzalendo wetu unapimwaje?
g) Viongozi wetu wanaohubiri uzalendo, wanakidhi vigezo vya kuitwa wazalendo??

Nawakaribisha nipate kufahamishwa kwa kina maana halisi ya uzalendo na mzalendo.
Uzalendo ni mbinu inayotumiwa na wanasiasa waovu wakiwatisha waache kuhoji maovu yao, wao huwaambia wananchi wawe wazalendo kwa nchi yao huku wao wakijitoa kwenye uzalendo huo! Matokeo ni viongozi kuwa matajiri na kepeana madaraka na familia na ndugu zao, ukihoji unaambiwa wewe si mzalendo, funga domo lako.
 
Hapa kwetu uzalendo umekuwa kutoikosoa serikali, kwa kifupi Tanzania kuwa mzalendo ni sawa na kuwa mjinga.
 
Uzalendo ni mbinu inayotumiwa na wanasiasa waovu wakiwatisha waache kuhoji maovu yao, wao huwaambia wananchi wawe wazalendo kwa nchi yao huku wao wakijitoa kwenye uzalendo huo! Matokeo ni viongozi kuwa matajiri na kepeana madaraka na familia na ndugu zao, ukihoji unaambiwa wewe si mzalendo, funga domo lako.
Kwahiyo wanatupumbaza kwa kutuita wazalendo au siyo?
 
Kwahiyo wazalendo wapo jeshini tu..!!??
Wanajeshi kwa maana jwtz ni zaidi ya wazalendo kwa maana ya mafunzo na wajibu wao kwa taifa.Ingawa wapo wanaokwenda kinyume na matakwa ya kazi. Kwa sababu moja ya majukumu yao ni kutoa uhai wao kwa ajiri ya kulinda mipaka ya nchi yao. Hivyo mtu kutoa uhai wake kwa ajiri ya nchi yake ni zaidi ya uzalendo
 
Ahsante sana
 
Kwa tafsiri ya ccm uzalendo ni kukipenda chama cha mapinduzi na serikali yake na raisi wake na mwenyekiti wao hata akikosea we msifie
 
Kwa tafsiri ya ccm uzalendo ni kukipenda chama cha mapinduzi na serikali yake na raisi wake na mwenyekiti wao hata akikosea we msifie
Je ni sahihi kutumia tafsiri hii kwa wananchi wote?
 
Uzalendo ni kupenda nchi sio vyama ,watu wanajenga madarasa halafu wanapeleka watoto wao ulaya wakasome hao ni WEZIIIIIIIIII sio wazalendo
Mtoto wako akisoma St Mary's huwezi kuwa mzalendo?
 
Back
Top Bottom