Uzalendo ni nini?

unyonge , umasikini , kutokuhoji chochote , yaani uwe kama hivi .

Walioanza kuhubiri uzalendo wa mdomoni wameupa uzalendo tafsiri tofauti, sasa hivi uzalendo kwao ni kujipendekeza kwa rais na kutetea chochote cha serikali.
 
Uzalendo una namba utasikia mzalendo namba moja na namba mbili!
 
Unamuunga mkono huyu muongo muongo ??
Kupitia vita ya ukraine vs Urusi, ukiwatizama wale wanajeshi wanavyoangushiwa mabomu na drone na kufa, unaamini wale kweli ndio wazalendo.
Sio hawa wengine wakisikia mlio wa baruti tu, wanakimbia; halafu wanasema ni wazalendo.
 
Usisahau hawa walioko front, kuna watu hawapo front lakini wanawapikia wapate uwezo wa kuwa huko front
 
Swali ni Je, hao viongozi wenu wa Serikali ni wazalendo???
 
Kupitia vita ya ukraine vs Urusi, ukiwatizama wale wanajeshi wanavyoangushiwa mabomu na drone na kufa, unaamini wale kweli ndio wazalendo.
Sio hawa wengine wakisikia mlio wa baruti tu, wanakimbia; halafu wanasema ni wazalendo.
Viongozi je ni wazalendo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…