Uzalendo umeshuka na kutoweka kwa Watanzania bada ya Rais Samia kurithi Urais. Watanzania hawamuaamini kwa kila kila jambo

NAPITA TU mwenzenu
 
Huo muda unaotumia kuandika uzi wa chuki dhidi ya Rais Samia ungetumia kupigania mambo yako binafsi ya kimaendeleo. Mama Samia ni rais wako hadi 2030 utake usitake. Tumwombee afya njema na uhai. Na ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya kitu kwenye katiba ili kukidhi mahitaji ya sasa Rais Samia kuongoza hadi 2040.
 
Anajifanya mpole hashughuliki na wabaya kwa vitendo vikali kumbe ndio mlea dhuluma, uonevu, unyonyaji, ufisadi, na mabaya yote dhidi ya raia wema
 
Nashangaa hadi mida hii huu uzi bado upo! Hawa modereta wameshafuta nyuzi nyingi tu zenye mlengo wa kushoto.
 
Zwazwa kwenye ubora wako

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Labda kwako wewe ndio umeshuka sisi wezio umeongezeka.halafu watanzania gani unawazungumzia?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanajenga kwa pesa za wizi, alaf eti unaambiwa ni uchumi umekua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We umewahi kuona wapi Rais anawaambia mawaziri wake watupige kwa urefu wa kamba zao, yaani anabariki upigaji live live!.
 
Hata Mimi simuamini kabisa huyu mama. Hili nalo kama watanganyika twende tukalitazame
 
Hapa duniani, mwenye pesa ndiye mwenye nguvu na maamuzi..

Inawezekana tu kuishinda nguvu ya pesa kuamua kinyume cha haki na adili iwapo nguvu iliyo kuu zaidi [Mungu - Yehova katika Kristo Yesu] itakuwa katikati ya wanaopinga dhuluma na haki; mateso na uonevu..

Otherwise, kama sisi sote hatutalitambua hili na kuchukua hatua stahiki, basi daima wenye pesa ndiyo wenye nguvu ya kuitawala dunia na kwa maana hiyo Tanzania..

Ni kweli Rais Samia Suluhu Hassan japo hakubaliki na Kila mtu, lakini akiamua kutumia nguvu ya pesa, hata wewe anaweza kukununua na ukamfanyia endorsement na ukawa huyaoni mapungufu yake kabisa.!
 
mpumbavu katika ubora wako,unapigania maendeleo yapi wakati kila siku watu wanafunga biashara kwa kukosa umeme!!!bila shaka utakuwa kada wa chama cha majambazi unatetea ugali wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…