Uzalendo umeshuka na kutoweka kwa Watanzania bada ya Rais Samia kurithi Urais. Watanzania hawamuaamini kwa kila kila jambo

Kila mmoja amegeuka mchwqa, kila mtu ni mwizi na fisadi! Kila mmoja ni kukwapua tu bila woga kwani hakuna mwenye nafuu
 
Pole mjane wa Marehemu shetani la Chato!

Naona mimba ya Marehemu shetani lenu la Chato bado inakusumbua sana!

Na kibaya zaidi mimba yako imetokea kumchukia sana Samia. Vumilia tu 2030 sio mbali
 
Madua ya masikini ndo haya
 
Kamwe usimpe imani yako mtu ambaye hata yeye mwenyewe hajiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…