Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

Mkuu huyu jamaa akiamua kujitoa ufahamu kuhusu yanayojiri nchini anakuwa mtu wa ajabu sana kwa pumba anazoandika humu.

 
Ni kweli mkuu, kwasababu naona kila mara huo waraka ukiwekwa hapa anapotea kama vile hauoni.

Madikteta uchwaraz wakishakutana wanakuwa HOVYO wote.
 
Unapokaa nyuma ya keyboard yako kua makini sana kwani nadhani unashindwa kuelewa Uhuru wa wanahabari na hicho unachoita uzalendo.
 
Mkuu huyu jamaa akiamua kujitoa ufahamu kuhusu yanayojiri nchini anakuwa mtu wa ajabu sana kwa pumba anazoandika humu.

“Amenichekesha” anaposema Rais kashinda na kutangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi. Tume hii ambayo kwenye uchaguzi mdogo wasimamizi walitoka “Chama Dola”!!!!
 


Tuko kimya kwa sababu hatutaki kuingia kwenye mtego mlioutega, kwani mlivyowatumia hizo articles hao Wazungu mlitegemea reaction ktk kwa Serikali yetu ili lengo lenu litimie lkn Serikali yetu iko makini chini ya Raisi wetu makini na nina uhakika inajua kinachoendelea nyuma ya pazia!

Hivyo kwa kuwapotezea chadema na Maadui wa nchi yetu kunawaadhoofisha isitoshe Watanzania waliosoma hizo articles zenu mlizowapa Wazungu hawafikii hata 1% sana kati ya hiyo <1% zaidi ya 90% hawapigi kura, sasa kwa nini kupoteza muda?
 
baadhi ya wasukuma kama akina pasikali mna matatizo sana-ww na huyo malaika wako mkuu unayemtetea mnatakiwa mpime akili hazipo sawa kabisa.hasa ww pasikali ndio zero brain na mnafiki mkubwa kabisa mwanaume gani huna msimamo ktk maisha kila siku ktk mada zako unauma na kupuliza.
 
Nilibahatika kuitembelea nchi ya Uingereza wakati wa utawala wa Chama cha Labour chini ya Tony Blair. Conservative walimkosoa sana Tony, walitafuta matokeo yake ya A level wasiyapate.
Ilijukikana wazi kuwa mke wake Cherrie alikuwa an A student, waliwahi kuandika nchi inaongozwa kwa ushauri wa Cherrie kwakuwa ndiye the brainy one.
Tale magazeti hayakuwahi kufungiwa wala kupelekwa mahakamani.
 
Kiukweli nimekuelewa Paskali, waliosoma bandiko lako kwa haraka haraka ndio wanaokutukana. Nimelisoma kwa makini Sana!

Simply ni kuwa hizi hoja ulizoorodhesha ni ngumu kwa waziri husika kuzijibu kwa vile hana pa kuchomokea. Na ni Bora tu wasizijibu kwa vile watajivua nguo. Ukimya wao unaonyesha kuwa kinachosemwa ni ukweli mtupu!

Nimependa ulivyoandika....
 
Mku kila linalotendeka liwe kwa uzuri au kwa ubaya marendo yanaweza yakawa ndio chimbuko la yote unayoyazungumzia. Kumbuka Mbwa akimuuma binadamu sio habari ila binadamu akimuuma Mbwa ndio habari ya siku
 
You a genius, Ms. Lincoln. Did anybody ever told you that?
 
Tatizo kubwa labda uelewa tu wa tafsiri ya neno uzalendo, uzalendo ni kuipenda nchi yako wala siyo serikali na rais wake

Kwa matendo ambayo Magufuli anawafanyia Watanzania wenzake anaowaongoza (wapinzani) ni kitendo cha kinyama ambacho ni aibu kubwa sana kwa nchi, kwa hali hiyo naanzaje kumtetea mtu huyu anayejali maslahi yake binafsi badala ya taifa!

Uzalendo ni kuipenda nchi yangu, Rais na Serikali yake naweza kuwachukia na nikawa bado mzalendo wa nchi yangu, mnachotaka kutuambia ninyi walamba viatu vya mkubwa kuwa uzalendo ni kumtetea rais na Serikali yake hata kwa maovu yao!

Huyu mtu hana hata sifa ya kuwa kiongozi
 
Bla bla bla.... Labda kwanza tuanze na kueleweshana maana ya neno uzalendo. Je uzalendo ni kumtetea raisi anapoongelewa vibaya?? If that's it, basi wengi suo wazalendo. Lakini kama uzalendo ni kudai katiba iheshimiwe basi Paskali umejichanganya vibaya sana. Badala ya kulilia watu waanza kubishana na kina The economist, DW and co, basi mngeelekeza juhudi zenu ku-refute haya yanayoendelea kwa vitendo. Onyesheni kuwa nyie sio madikteta, inyesheni kuwa uchumi wenu hauporomoki, onyesheni kuwa nyie sio rogue and bull headed...
 
For sure kuna tatizo kwenye mfumo wetu wa elimu. Mbona watu ni wajinga kiasi hiki?
Hakuna anaesema rais yuko sahihi, hata mleta mada ameelezea hayo yote, Someni Muelewe lengo la mleta mada,
 
Swala linapokua la kitaifa wananchi tunao uwezo wa kuungana na serikali yetu kulitetea na kulipinga...

Swala linapokua la kimataifa...
Wizara zenye dhamana husika ndiyo wanapaswa ku-deal nalo...

Wananchi tunachoweza kufanya kwenye swala la kimataifa ni kufanya maandamano ya amani yenye kibali kuonesha masikitiko yetu na kuchukizwa kwa jambo au mambo wanayotaka kutufanyia mataifa ya nje ambayo siyo ya kupendeza...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…