Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

Mnalilia katiba ya nchi wakati huo ya chama chenu tu hamfuati...
Uzalendo uanzie ndani ya chama ndio wananchi wengine tutawaelewa
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mnalilia katiba ya nchi wakati huo ya chama chenu tu hamfuati...
Uzalendo uanzie ndani ya chama ndio wananchi wengine tutawaelewa
Sijui kama unapenda politician kama mkuu wa wilaya akuweke ndani bila mashtaka au warrant? unapenda kuwekwa ndani bila kufunguliwa mashtaka maisha yako yote? kama Chadema wakishika nchi utapenda wao ndio wapange na kusimamia uchaguzi na sio tume huru? ...kuna mengi hiyo ni mifano tuu kwanini katiba mpya inatakiwa
 
Mnalilia katiba ya nchi wakati huo ya chama chenu tu hamfuati...
Uzalendo uanzie ndani ya chama ndio wananchi wengine tutawaelewa
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Katiba itakuja mama alisema mtulie kwanza kuhusu Katiba,
 
Itakupa ugali?
 
Hayo sawa lakini wanasiasa hamtushawishi kama mnayoongea ndio mnatakayotekeleza...

Walioko madarakani wanatumia udhaifu wa katiba kubaki madarakani na wasio na madaraka nao wanataka kuidhoofisha katiba watumie udhaifu huo kuingia madarakani...

Kabla hamjatuvisha wananchi agenda ya katiba mpya, tuonyesheni namna mnavyo comply kwenye katiba zilizopo vinginevyo tunashindwa kuelewa maslahi yenu ni yapi
 
Mnalilia katiba ya nchi wakati huo ya chama chenu tu hamfuati...
Uzalendo uanzie ndani ya chama ndio wananchi wengine tutawaelewa
Ninyi wanufaika wa hii System mbovu ndio mnabwabwaja,sisi Wananchi tunataka kariba mpya.
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ akili yako ingekuwa njema ungejua Watanzania wako 60M sio hiyo takataka yako
 
Safi, wewe unaakili sana
 
Safi kabisa. Umepiga ngumi ishirini below belt
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ nenda na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ