Dhlomo naona hajashawishika na bado anapambana kumtoa pastor na Xulu hajafa maana yeye ndiye pekee anayejua ukweli wote.Huyu pastor ni mpumbavu sana anataka kuwafyeka mdletshe wote kanisani.
Na huyu MK ameanza kuonesha rangi yake halisi..
Halafu xulu hajafa nyieee..
weh itakua shwar sana kama ni mzmHuyu pastor ni mpumbavu sana anataka kuwafyeka mdletshe wote kanisani.
Na huyu MK ameanza kuonesha rangi yake halisi..
Halafu xulu hajafa nyieee..
nombu anajisahau sana nae maana anasahau fadhila za familia ya pastorNaona yule pastor hajui kuwa ile kwaya imefika pale ilipo kwasababu ya Ayanda na nombuso na mda si mrefu Kuna uwezekano mkubwa Nombuso akaisaliti familia ya mchungaji sababu ya mxolisi.
Acha pavuje tujue wapi pabovu.Dhlomo naona hajashawishika na bado anapambana kumtoa pastor na Xulu hajafa maana yeye ndiye pekee anayejua ukweli wote.
Lakini mabuza pekee anajua xulu alipo.Dhlomo naona hajashawishika na bado anapambana kumtoa pastor na Xulu hajafa maana yeye ndiye pekee anayejua ukweli wote.
ππkwani hukujua mkono mtupu haulambwiπLakini mabuza pekee anajua xulu alipo.
MK mshamba wa mademu sana yaani na limbukeni wa pesa, kawatolea bastola wateja Royal wa Kaka yake. Tena walitoa na pesa nyingine kama nyongeza,
Halafu zawadi na mapesa anafaidi sma.
Kwa kweli bora nibaki na nosipho wangu.
Smangele kawa gold digger πππ
hili lipastor fake time yake itafika tu..na itakua aibu sana kwake na uyo mamlambo.Dah manzunza na family yake wanatia huruma sana.
Sasa wanafukuzwa kwenye nyumba yao wenyewe ili li pastor nkosi likae, halafu hili lipasta kwanini linawachukia sana mdletshe's? Mimi nahisi limebadili hati ya nyumba ionekane pastor mdletshe aliandika kwa ajili ya kanisa,, π₯π₯
Mama huyu ataenda wapi jamani? Na lile li ma mlahmbo nalo linafki sana ndio lina organize yote haya na li pasta lao, pasta lenyewe lipo kama jambazi, midevu ile.
Mk kashachokoza huko, katengeneza bifu na kaua mlinzi mmoja, huyu jamaa bwana na ka smangele akaona amfate sponsa wake huko huko ofisini.. πππmwanakwaya malaya huyuuu
Jagiya
Huyu mk hawezi kuniibia kizembe hivi mtu mwenyewe anagombea mirathi ya Kaka yake.. ππhili lipastor fake time yake itafika tu..na itakua aibu sana kwake na uyo mamlambo.
maskini manzuza namuonea huruma mnoo inamwia vigumu kuvaa viatu vya mumewe dah!
π mkuu tuliza jazba acha sma ale maisha don't be that jealousy π
sawa ila twende mbele turudi, wanasemaaa mwenye kisu kikali ndie...πHuyu mk hawezi kuniibia kizembe hivi mtu mwenyewe anagombea mirathi ya Kaka yake.. ππ
Hizo nyama siku hizi tunakata na machine πsawa ila twende mbele turudi, wanasemaaa mwenye kisu kikali ndie...π
πππ ety mtatrend mh iyo couple bado sanaa...Hizo nyama siku hizi tunakata na machine π
Mxo na nombu wana mapenzi ya kishamba sana yaani..
Nina imani mimi na nosipho tutatrend.. ππ
Pia wewe na mabuza mbona mnapendeza πππ
Kumbe nani mwenye cv? Dhlomo au yule pastor nkosi?ππππππ ety mtatrend mh iyo couple bado sanaa...
π mabuza bado sana kuweza miliki hii pisi kali kwakweli.. hana cv
hata mmoja amna mwenye cv konk apo...Kumbe nani mwenye cv? Dhlomo au yule pastor nkosi?πππ
Funguka tuuu naomba uchukue mk sma arudi kwangu jamani ataniua.. π€π€
Jana au juzi alionyeshwa akiwa mgonjwa kwenye nyumba fulani. Mimi naamini yule askari mla rushwa anahusika kwa kiwango kikubwa. Alikwenda kudai mpango kwa Mangcobo.Huyu pastor ni mpumbavu sana anataka kuwafyeka mdletshe wote kanisani.
Na huyu MK ameanza kuonesha rangi yake halisi..
Halafu xulu hajafa nyieee..
Tatizo la sma ana tamaa sana huyu mwanamke,hata mmoja amna mwenye cv konk apo...
π π π mkuu kumbe unajifariji kwa nosi wakati umekufa na kuoza kwa sma.. oh jaman πpole pole sanaa subiri kidogo wataachana tu
Kwamba mabuza ndio amem shoot xulu bosi wake? Maybe mkuu.Jana au juzi alionyeshwa akiwa mgonjwa kwenye nyumba fulani. Mimi naamini yule askari mla rushwa anahusika kwa kiwango kikubwa. Alikwenda kudai mpango kwa Mangcobo.
Siyo Mabuza aliyeua lakini mchongo mzima anaufahamu. Na yule mama Sangoma wa Xulu naye pia anahusika.Kwamba mabuza ndio amem shoot xulu bosi wake? Maybe mkuu.
Ninachoona mabuza anahangaika xulu apone ili aanze kupata cha mkononi kama kawa.
Yule mwanamke ndio anamtibia xulu nadhani.
Ila li mabuza linapenda rushwa.