hahahah pole aseh nilikua nataka nikuwahi mapema nikupe pole maana umewakosa wotee sio nosi sio smaa hahahah pole sanaNaona kabisa mywangu nosi anaenda kutafunwa na mastermind..!
Anajilengesha sana. Malaya huyu.
Na sma kachukuliwa na Mk sijui nakwama wapi jamani..
Itabidi niende kwa Jagiya autibu moyo wangu
hapana nosi hakuwa na upweke bali alikua na hasira maana mk alimuua mpambe wa yule jamaa aliekuwa royal customer nadhan sasa mxo,mk na mamayake wanamficha sasa akaghadhabika akamfuata na mastermind nae akasema hajui vilevile,Jana ijumaa niliikuta mwisho kabisa.
Pale mastermind yupo ofisini na nosi itakuwa walipigana mate ITV wanakataga.
Ila huyu nosi kamuelewa zweli kweli au genye tu na upweke?
Shit pumbavu sana huyu jamaa..hapana nosi hakuwa na upweke bali alikua na hasira maana mk alimuua mpambe wa yule jamaa aliekuwa royal customer nadhan sasa mxo,mk na mamayake wanamficha sasa akaghadhabika akamfuata na mastermind nae akasema hajui vilevile,
nosi akabaki amechukia ndio master akamuita akakaa, ndio master akupoteza nafasi....akakunyang'anya tonge mdomoni๐
Its Pancho
๐ ๐ ooh...pole sana i can feel your pain๐ ila mamlambo hamtawezana hataa๐ โโ๏ธjarbu kuvumilia atamuacha tuShit pumbavu sana huyu jamaa..
Hajaridhika na yule demu tipwa tipwa thobile?..
Kama vipi nihamie kwa mamlambo aniroge vizuri nimechoka.
Huu ni uonevu ngoja nivizie watagombana tu nami nawahihahahah pole aseh nilikua nataka nikuwahi mapema nikupe pole maana umewakosa wotee sio nosi sio smaa hahahah pole sana
Nosi jamani dah acha nikajinyonge mie๐ ๐ ooh...pole sana i can feel your pain๐ ila mamlambo hamtawezana hataa๐ โโ๏ธjarbu kuvumilia atamuacha tu
hahahah kweli et jarbu apo ujishkishe kwa mudaHuu ni uonevu ngoja nivizie watagombana tu nami nawahi
Halafu mama mxo yuko singo yaan eeh nmekumbuka.. ๐๐
tuliza jazba mda bado upo usifikie huko๐๐Nosi jamani dah acha nikajinyonge mie
Mamlambo achelewi kunichoma kwa li pastor nkosi
Bye bye tukutane akhera..
Tatizo mumewe soon litarudi nisije pasuliwa mayai ya uzazi burehahahah kweli et jarbu apo ujishkishe kwa muda
๐๐๐๐nimeghairi kufa..tuliza jazba mda bado upo usifikie huko๐๐
๐๐ni kisanga mkuu jarbu kwa mama pastor umfariji ataTatizo mumewe soon litarudi nisije pasuliwa mayai ya uzazi bure
hurray๐ ayo ndiyo maneno sasa๐ฅ๐๐๐๐nimeghairi kufa..
Huyu ataanza kuniletea mambo ya "pepo mchafu tokaa "๐๐ni kisanga mkuu jarbu kwa mama pastor umfariji ata
Tumlipizie nosi na sisi ๐๐hurray๐ ayo ndiyo maneno sasa๐ฅ
dah barrier kila kona sasa itakuwaje...Huyu ataanza kuniletea mambo ya "pepo mchafu tokaa "
Kwa kweli mikono nimenyoosha..
kwako wewe utamlipiza mimi jeh ntamlipiza nani..?Tumlipizie nosi na sisi ๐๐
Dhlomo jamani. Unamkana leo?kwako wewe utamlipiza mimi jeh ntamlipiza nani..?
weeeeh... hapana aseh, yule no kwakweli wangu namsubr soon utamwonaDhlomo jamani. Unamkana leo?