Uzalo Special Thread

Dah manzunza na familia yake maskini dah
Hivi Why watu wanakuwa wakatili namna hii kama hili li pasta? Ayanda katolewa kwenye kwaya kwa sasa iko wazi. Sijui kosa lake kubwa ni lipi.
Nkosinathi dawa zimeisha nae mama anahisi mzigo kumuelemea kabisa.
Kanisa walilojenga wenyewe sasa wanakaa kwenye store ya kanisa kwa utapeli huu wa pastor fake huyu mamaeee zake..

Mxo naona mapenzi yanafanya aharibu biashara mbwa huyu dogo.
Hata hivyo nashukuru katemwa sasa it's my time now.. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Huyu sma atageuzwa jambazi maana anapoelekea sasa..hasikii wala haoni kwa mk..
 
inatia huzuni, hasira, huruma, dah
Ila leo naona kabisa wiki imeanza poa sana kwa ndugu yangu
Its Pancho
 
inatia huzuni, hasira, huruma, dah
Ila leo naona kabisa wiki imeanza poa sana kwa ndugu yangu
Its Pancho
Ndio niko hapa nashushia Pepsi ya bariidiiiii. Nimefurahi sana yule janja fala kuachwa pimbi huyu alijifanya Mr lover kiko wapi?
Zamu ya master kuniachia nosi wangu
 
Ila yule captain wa kituo cha polisi bosi wa kina dhlomo na mabuza huwa anafurahisha sana anavyoongea, huwa anaonyesha na vitendo.. Kama mbongo. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ndio niko hapa nashushia Pepsi ya bariidiiiii. Nimefurahi sana yule janja fala kuachwa pimbi huyu alijifanya Mr lover kiko wapi?
Zamu ya master kuniachia nosi wangu
hahahah uyo mpuuzi lazma aachwe tu kazd na uromantic wake wakishenz afu kichwa box tu apo kwa nosi atarud
usiwaze
 
Ila yule captain wa kituo cha polisi bosi wa kina dhlomo na mabuza huwa anafurahisha sana anavyoongea, huwa anaonyesha na vitendo.. Kama mbongo. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚afu yupogo kama anakontroliwa na remont
 
hahahah uyo mpuuzi lazma aachwe tu kazd na uromantic wake wakishenz afu kichwa box tu apo kwa nosi atarud
usiwaze
Lakini nahangaikaga kote huko bondeni na wewe upo hapa hapa bongo Why unitese jamani.
 
๐Ÿ˜Š aseh nikimuonaga hasira inanichemka jini kizoba yule..
Pigo za mk huwa sizielewi naona kila siku nguo zile zile
Halafu huyu mlokole fake sma akamwambia mk "ai lavyuu" mammae zake huyu ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ
 
Pigo za mk huwa sizielewi naona kila siku nguo zile zile
Halafu huyu mlokole fake sma akamwambia mk "ai lavyuu" mammae zake huyu ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃkwani katenda dhambi kusema hivyo au ni.. ๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ