bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Nadhani ilianza jana lakini ITV wameikata. Hii ya leo ni mara ya pili.
Nadhani ule mfuko labda ulikuwa wa marehemu dada yake, maana kwanza alitoa ile picha ya 'Lungi' akaiangalia baadae ndiyo akaanza kusoma zile documents za hospitali.Sielewi zile nyaraka za hospital kuhusu uhalisia wa wazazi wa Ayanda na Mxo Nombuso alizipata wapi, maana ndo alizomaliza kusoma tu ile anataka kuanika ukweli akatandikwa risasi.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hiyu Nosipho naye malaya, Zweli naye ameshakulaNadhani ilianza jana lakini ITV wameikata. Hii ya leo ni mara ya pili.
Niliona ile statement aliyosema Ayanda kabla kwamba they were not supposed to do what they did before nikawa na wasiwasi. Ila leo naona imethibitika.
Sijui itakuwaje siku akitambua ni kaka yake.
mamlambo kweli apo panafaa maana atakulea kabisaa😅Namsalaundia mamlambo katibu wa kanisa na mchawi mganga mkubwa yule ili aniroge nimpende na anipe limbwata.
Ila usimuache dhlomo plz mzee wa watu mnapendana 😀😀
Nahisi hilo au anataka kuwatetemeshaNa kama ni Mk basi target yake ilikuwa ni Mxo, rejea siku Nosipho anatandikwa risasi.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2]Si alinikataaga huyu akaenda kwa master? Tena na kunisuta na kunichamba juu? Kuwa amechoka kuwa na mimi muuza samaki?.
Sasa ameanza kukitembeza kwa brother wake wa damu!..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kama vipi ma mlahmbo si yuko singo?
Yule binti yupo lonely inaelekea anahitaji furaha lkn hajui kwa njia gani,ndio anajikuta analala na wanaume hovyo,maana hii tabia imeanza baada ya kifo fake cha zuluSijui itakuwaje siku akitambua ni kaka yake.
Naona amemuogopa girlfriend wa Zweli maana yule eti anajifanya very possessive, lakini liZweli lenyewe wala halijali.
Leo usiku akisubiri jpili unaweza kusikia matangazo yamekatishwa rais anazindua sijui kitu ganiSUBIRI MPAKA JUMAPILI
Hilo tukio la kukabidhiwa begi la Sindi sikuliona mkuu, ndo maana nikahoji.Naona wengi mnafatilia matukio bila kuangalia story yenyewe, aunt yake Nombuso wakati anaondoka alimkabidhi begi la dada yake huku akimwambia hajawahi kulifungua inawezekana dada yake Kuna kitu amemwachia.
Kwahiyo mkuu sisi tulikuwa vipofu ama?Naona wengi mnafatilia matukio bila kuangalia story yenyewe, aunt yake Nombuso wakati anaondoka alimkabidhi begi la dada yake huku akimwambia hajawahi kulifungua inawezekana dada yake Kuna kitu amemwachia.
Sio wewe tuHilo tukio la kukabidhiwa begi la Sindi sikuliona mkuu, ndo maana nikahoji.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kwamba wakristu wakizini hawapati janaba eeh ila wanapata waislamu tu?Wakristo wana kitu kinaitwa janaba mzee?
Sisi tuliikosa kabisa.Kha! ulikuwa wapi leo hukuona No alipopigwa risasi?
Ok alikabidhiwa begi wakati Yule Mama anarudi kwao baada ya ya harusiHilo tukio la kukabidhiwa begi la Sindi sikuliona mkuu, ndo maana nikahoji.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kwa wewe inawezekana uliona ila hukuelewa, nimeona unahoji kuhusu dna wakati wakionyesha kabisa kabla ya Nombuso kufanyiwa vipimo Dk aliwaonya kabisa na kushauri dna ifanyike baada ya mtoto kuzaliwa lakini Ayanda akang'ang'aniaSio wewe tu
Tunaoifatilia kupitia ITV hatujawahi kuona kitu kama hicho aseeh. Eti Jagiya uliona hiyo?
Hata hapo pia sikuona piaKwa wewe inawezekana uliona ila hukuelewa, nimeona unahoji kuhusu dna wakati wakionyesha kabisa kabla ya Nombuso kufanyiwa vipimo Dk aliwaonya kabisa na kushauri dna ifanyike baada ya mtoto kuzaliwa lakini Ayanda akang'ang'ania
Xulu anajua kuwa Ayanda ni mtoto wake, na Mxo syo wake. Je, kama ndo alim-shoot Nombuso anataka siri abaki nayo yeye tu?Ok alikabidhiwa begi wakati Yule Mama anarudi kwao baada ya ya harusi
Hapana umeona sasa na wewe hapa tuseme hukuelewa?N
Xulu Hana uhakika ila Kuna kipindi wakitaka kufanya tambiko wakati wa kuwasha Moto ulikataa halafu baada ya kumgonga Ayanda walipoenda hospital alimtolea damu ikakubali bila tatizo ikampa maswali pia Yule mamlambo alishamweleza kuhusu utata wa mtoto wake