Uzalo Special Thread

ayanda n mnafki sanaa sanaaa mpuuz huyu anajidai kujua uchungu wa mama mwishoni.... alafu alivyokua anamnyima mxo kwenda hospitali alifikiria nn.. anajidai kumlaumu mxo wakati ajui kisa na mkasa mfyuuu
 
Amezingua Sana big time kwanza manzuza akiamua kumtimua ayanda hashindwi.
Hata ungekuwa wewe anakuzuia usiende hospital usingekubali
 
Kwan hii tunaweza dumu nayo kwa miaka mingapi
Kwa hizi season 7 kuna episodes 1645 so ukigawanya hapo hizo episodes ambazo zinaoneshwa kila siku Itv kwa siku 365 za mwaka unapata miaka 4 so itatuchukua miaka 4 ili kuwafikia wenzetu ambao wapo season 7[emoji23][emoji23]
 
Amezingua Sana big time kwanza manzuza akiamua kumtimua ayanda hashindwi.
Hata ungekuwa wewe anakuzuia usiende hospital usingekubali
kabisaa... anaanzaje kunizuia kwa mfano tungezichapa tu hivyo hivyo
 
Yule mama ayanda au mama mchungaji ni muigizaji maarufu Kwa Jina la sarafina... Sasa kazeeka jmm
 
Yule mama ayanda au mama mchungaji ni muigizaji maarufu Kwa Jina la sarafina... Sasa kazeeka jmm
Sasa jamani toka Sarafina itoke inakaribia miaka thelathini yani miaka mingi kuliko miaka aliyokuwa nayo kipindi anaigiza hiyo Sarafina yenyewe, bado tu awe kijana, ila bado sio mzee ni mmama wa makamo
 
Sijajua kwa Ayanda lakini Manzunza na Sma watapigwa risasi kanisani na ndio utakuwa mwisho wao, Mastermind naye watamuondoa kwa kumuua lakini Mabuza atarudi kwenye episode za mbeleni.
Usituletee spoilers..... (kutuambia nini kitatokea)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…