Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Mywangu. Nimekufa nimeoza kwako
images.jpeg
 
safi sana lipastor feki limeanza kumtamani nombuso na hivi wanakaa nyumba moja, na limewakosesha ushindi kwaya yetu imekuwa ya mwisho.. astafighulah huyu mwanaharamu huyu, wahedi, kenya uganda kabisa 😈

Maskini mama nzunza kaenda kucheat..! Ili tu mwanae apate dawa, hii moment inauma sana, naona hili swala kafikisha kwa dhlomo kupitia shida alizolia pale labda atalivalia njuga maana limemfikia, dhlomo hana pesa kabisa katoa jiwe tano tu Wallet haina kitu. Jagiya mumeo huyo 😁😁

Mk sasa anaanza kuonesha uhalisia wake kabisa.
Vera ginger , Eminem jr Agogwe
 
namuonea huruma manzuza hatua aliyofikia kiukweli imeniuma 😭i hope yatapita tu na ilo lipastor mwisho wake utafika tu
Dhlomo anaroho nzur sana we umemuonaje Its Pancho
 
dhlomo ni rafiki wa kweli wa pastor
Hii ndio maana halisi ya akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki,

Anyway mpee tu mzee huyo yupo singo mtatrend wala hatuwacheki 😂😂😂
 
halafu huyu nombuso ni kichwa maji kabisa
Wenzie wameondoka yeye kashikilia kubaki mule akae na lile jambazi pastor.
Yaani anaonesha kanogewa na maisha ya town hivyo hataki kula msoto na kina ayanda. Ngoja abakwe nyau huyu na liupara lake kama goti la mguuni
 
haa kumbe uyo hafai kabisa mshenz mmoja huyu
 
li pastor Leo lilimkuta amevaa taulo tu lenyewe lina singlendi.
Likamshika shika akaondoka likamwambia usimwambie mtu..

Mpumbavu huyu sijui anajikuta nani
 
mtchew!! uyu nombuso hafai hata kidogo sio wakutolewa mahari wala kubebeshwa mimba huyu mpuuzi sana
 
Back
Top Bottom