Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Hivi Nombuso alifanywa kitu gani na mxo mpk anamwambia asiwaambia watu?
Nombuso si anajua mkhoto aliua mtu kule ofisini na hivyo anajua ujambazi wa familia ya mxo, ndio mxo hataki Nombuso akaropokeropoke huko
Tena hiyo ndio sababu ya wao kuachana nombuso kamaindi kuwa mxo nae nae yumo kwenye ujambazi
 
Pastor anazidi kujichimbia kaburi soon leo limekaa kifua wazi na boxer tu na nombu ana pajama, malaya huyu 😈😈 soon tunamzika.
Ayanda akafumwa akimtongoza nombu na mama yake.
Kuna dada alisemaga hapa kuwa mabuza ndio anahusika kumshoot xulu, sasa nimemuelewa nakazia mabuza ni muhusika.!
Mxo naye kaanza kupata mashaka sana kuhusu mk kuwa ndio muuwaji..
Master kaanza kumkwepa nosipho safi sana mwamba.. Kazi nzuri 😂😂😂💪💪
 
Nombuso si anajua mkhoto aliua mtu kule ofisini na hivyo anajua ujambazi wa familia ya mxo, ndio mxo hataki Nombuso akaropokeropoke huko
Tena hiyo ndio sababu ya wao kuachana nombuso kamaindi kuwa mxo nae nae yumo kwenye ujambazi
Oooh kumbe
Ahsante
 
Pastor anazidi kujichimbia kaburi soon leo limekaa kifua wazi na boxer tu na nombu ana pajama, malaya huyu [emoji48][emoji48] soon tunamzika.
Ayanda akafumwa akimtongoza nombu na mama yake.
Kuna dada alisemaga hapa kuwa mabuza ndio anahusika kumshoot xulu, sasa nimemuelewa nakazia mabuza ni muhusika.!
Mxo naye kaanza kupata mashaka sana kuhusu mk kuwa ndio muuwaji..
Master kaanza kumkwepa nosipho safi sana mwamba.. Kazi nzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123]
Pole
Mapenzi ndio yanaanza
 
Mabuza anapenda sana hela mshenzi huyu
 
Hahahaha nombuso kajionea sasa kwamacho maana alikua anamtetea sana uyo nkosi mfyuuu...
 
nilichosema kimetimia kuhusu huyu kichwamaji nombuso.. li pasta limefanya kweli..
Zweli na MK soon watazichapa..
Halafu MK alienda kufukua bastola ile sijui aliitumia kumshoot nani? Mambo sio mchezo.

Huyu nosi nataka nimpe talaka tatu nina moyo mie 🙌🏾🙌🏾
 
hahaha ongeza nne kwaajili yangu 😅
poleee mwaya...
 
Leo pastor Nkosi amezingua sana
Pasta gani anatak kubaka
[emoji57][emoji2955]
 
Back
Top Bottom