Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Kuna sehemu nilisema wakionyesha kapimwa dna, walienda kwa Dr Ayanda alitaka mtoto wake afanyiwe partenity test sijui Kama ninepatia majibu na wakaelezwa wasubiri Hadi mtoto azaliwe baada ya hapo wakionyesha Mama ya Ayanda anawauliza kuhusu hospital Kama pia walipewa picha zozote baadae tunaonyeshwa mama Ayanda akimfariji Nombuso baadae Ayanda anaomba msamaha hivi inashindwa kuunganisha matukio kujua Nini kilitokea
wewe naona unataka mabishano na watu tuu.
Sasa kama hakuona na karibu kila mtu anadai ITV episode huwa zinakatwa katwa. Shida nini?
Sasa wewe uliona tusimulie sisi tujue sio ooh wengine hawafuatilii kwa makini sijui nini"

No hatuko hapa kushindana nani anaelewa kuliko wenzie au nani ameangalia..
Kama umeangalia na wengine tumekosa tupe update,
Hili sio jukwaa la sports kwamba kuna mabishano..
 
Kuna sehemu nilisema wakionyesha kapimwa dna, walienda kwa Dr Ayanda alitaka mtoto wake afanyiwe partenity test sijui Kama ninepatia majibu na wakaelezwa wasubiri Hadi mtoto azaliwe baada ya hapo wakionyesha Mama ya Ayanda anawauliza kuhusu hospital Kama pia walipewa picha zozote baadae tunaonyeshwa mama Ayanda akimfariji Nombuso baadae Ayanda anaomba msamaha hivi inashindwa kuunganisha matukio kujua Nini kilitokea
bhas skuona maana nilikuta ndio wametoka hospital
 
Hapo ndio utata mkubwa dada yake Nombuso alitaka kutoa Siri naye alipigwa risasi
Laana bado inatembea
Kutoka kwa aunt yake Nombuso,czn wake na yeye na wote walikufa
Waliambiwa na sangoma kuwa laana itawafata na ndio maana yule mama aliumwa sana kbl ya kufa
Hapa mpk kila mtoto aende kwenye familia yake ya ukweli
 
Kuna sehemu nilisema wakionyesha kapimwa dna, walienda kwa Dr Ayanda alitaka mtoto wake afanyiwe partenity test sijui Kama ninepatia majibu na wakaelezwa wasubiri Hadi mtoto azaliwe baada ya hapo wakionyesha Mama ya Ayanda anawauliza kuhusu hospital Kama pia walipewa picha zozote baadae tunaonyeshwa mama Ayanda akimfariji Nombuso baadae Ayanda anaomba msamaha hivi inashindwa kuunganisha matukio kujua Nini kilitokea
Hii kitu nakumbuka enzi za isidingo aliambiwa Nikiwe na Frank,baada ya Frank kupata wasiwasi kuwa sio mimba yake bali ya jamaa mwingine aliyekuwa anadate na Nikiwe,lkn wenyewe walifanikiwa mtoto hakufa
 
Me mwenyewe nimetingwa balaa tangu alhamis sijaangslia kabisa yaan nafuatilia tu comments za wadau
 
Mk ameingia kwa ofisi ya Sbu nakuomba ajifiche huku ameshika bastola na wasiwasi,lkn sbu kakataa na kumwambia hamna sehemu ya kujificha,akaondoka kwa hasira,Ayanda anajilaumu na kujiona yeye ndio chanzo cha matatizo ya mkewe,zweli kampelekea mxo bag la nombuso,mxo kalikumbatia na kulia,then akamuulizia mk yupo wapi,zweli akamwambia sbu alimuona asubuhi,akataka aitwe sbu but zweli akamwambia hatari polisi lkn akang'ang'ani aitwe alipokuja akahadithia ilivyokuwa mpk hapo wakajua mk ndio anatafutwa auliwe na zongoza sijui ndio jina lake yule mafia,sbu alipotoka akadakwa na inspecta dhlomo,mk na zweli wameenda kumtafuta mk
Nombuso nae inaelekea kafa baada ya mx kuenda kumuona na kuanza kumtikisa
Samehe sijui kuelezea vzr
 
Kuongezea stori ya Vera ginger ni kwamba Ghabashe nae anataka kujidhihirisha lakini mkewe na yule Mabuza wanamtaharadhisha aendelee kusubiri. Lakini yeye anaona mambo yanakwenda ovyo kwenye business zake na informer wake ni Sbu.

Nosipho amemwambia mamake amesikia kama anaongea na mtu mwanamme chumbani lakini mama akakausha kabisa akajifanya kama yeye eti anaongea kwa sauti nzito, lakini bado Nosipho alikuwa na wasiwasi.

Nombuso ndiyo hivyo tena bai bai (sijui kwa nini wamemuondoa mapema hivyo kwenye series) mashine imenyoosha mstari.
 
nombuso laana ishamtafuna inaumaa jaman.
ayanda anasafar ndefu pole kwake... ghabashe bora tu arud kazni maana mxo n mpuuzi tu
 
Kuongezea stori ya Vera ginger ni kwamba Ghabashe nae anataka kujidhihirisha lakini mkewe na yule Mabuza wanamtaharadhisha aendelee kusubiri. Lakini yeye anaona mambo yanakwenda ovyo kwenye business zake na informer wake ni Sbu.

Nosipho amemwambia mamake amesikia kama anaongea na mtu mwanamme chumbani lakini mama akakausha kabisa akajifanya kama yeye eti anaongea kwa sauti nzito, lakini bado Nosipho alikuwa na wasiwasi.

Nombuso ndiyo hivyo tena bai bai (sijui kwa nini wamemuondoa mapema hivyo kwenye series) mashine imenyoosha mstari.
Wamemuondoa mapema sababu alijiona super staa full mashauzi mbali ya kuact ni mwimbaji alikuwa amepata mikataba akaanza nyodo na dharau
 
Back
Top Bottom