nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Kiukweli, scene za jinsi ma ngcobo na mxolisi kumzika nkosinati zinaumiza sana, Nafikiri ni moja ya scene za kikatili zaidi nilizoona kwenye tamthilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah sipendi mambo ya kubadilishaAtarejea ila atakuwa siyo yule wa mwanzo
Hahahahah mkuu kwa mabuza nimecheka sanaaHawa watu nadhani ulaji wao wa nyama nyingi sana unachangia wawe na inye aka chura kubwa kubwa mpaka kero swala hili la chura naomba mnisamehe sitachoka kuliongelea.
Mangcobo akitembea utadhani mlemavu kumbe chura..
Mamlahmbo sasa.
Manzuza huyu manguo yake marefu ya heshima yanaficha tena huyu ndio limekaa vizuri zaidi I love it.
Sio tako la mabuza kwa sisi wanaume kuwa nalo halifai kwa kweli, 😀
Si umeona mkuu?Hahahahah mkuu kwa mabuza nimecheka sanaa
Ila Manzuza daah ana shape nzuri balaa na yale magaun anayo vaa anapendeza sanaa
Mkuu fanya kujisogeza kwa Manzuza maana inaonekana umemzimia mazima 😄😄Si umeona mkuu?
Anapendeza sana kwa kweli imagine ukimkuta uchi, I love manzuza na hivi yupo single sasa hivi daah.
Napendaga jinsi anavyotabasamu najiskia burudani sana..
Halafu siku moja alipelekewa moto, wakati wa yule pastor feki nkosi, walivyohamia kule store kanisani, alimpigia simu jamaa mmoja, akadai nipe nikupe,
Si akaenda mama huyu jamani dah. 😀
Shida mbaya sana wajameni.
Mabuza ulafi kupitiliza umemponza sana jembe langu, ndio maana tako haliishi yaani hata kutembea Kama winchi linavuta mzigo.
Je,ile scene ya Xulu kuwaambia Mngcobo na mxolisi wachimbe kaburi wajizike huku kawaangushia kipigo cha kufa mtu uliionaje?Kiukweli, scene za jinsi ma ngcobo na mxolisi kumzika nkosinati zinaumiza sana, Nafikiri ni moja ya scene za kikatili zaidi nilizoona kwenye tamthilia
Je, atawahi kumuondoa kabla hajafichua?Kwa hali ilipofikia Mangcopo Hana ujanja zaidi ya kumuua Mxolisi.Vinginevyo Kuna Kila dalili ya Mxolisi kufichua Siri ya mauaji ya Nkosinath!
Mm Mamlahmbo ananivutia sana yule Dada kwa kweli dahhHawa watu nadhani ulaji wao wa nyama nyingi sana unachangia wawe na inye aka chura kubwa kubwa mpaka kero swala hili la chura naomba mnisamehe sitachoka kuliongelea.
Mangcobo akitembea utadhani mlemavu kumbe chura..
Mamlahmbo sasa.
Manzuza huyu manguo yake marefu ya heshima yanaficha tena huyu ndio limekaa vizuri zaidi I love it.
Sio tako la mabuza kwa sisi wanaume kuwa nalo halifai kwa kweli,
Hivi hatuwezi kumshirikisha mtu wa ITV awe anatupia vipande humu vya kila siku kwa ajili ya watu ambao hawapati muda kuangaliia TV?
Demu wa nani 😀😀ila demu wako nosi hapana…yani anajipendekeza kwa mondi mpaka anaboa [emoji35]