Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Hawa watu nadhani ulaji wao wa nyama nyingi sana unachangia wawe na inye aka chura kubwa kubwa mpaka kero swala hili la chura naomba mnisamehe sitachoka kuliongelea.
Mangcobo akitembea utadhani mlemavu kumbe chura..
Mamlahmbo sasa.
Manzuza huyu manguo yake marefu ya heshima yanaficha tena huyu ndio limekaa vizuri zaidi I love it.

Sio tako la mabuza kwa sisi wanaume kuwa nalo halifai kwa kweli, 😀
 
Hahahahah mkuu kwa mabuza nimecheka sanaa

Ila Manzuza daah ana shape nzuri balaa na yale magaun anayo vaa anapendeza sanaa
 
Si umeona mkuu?
Anapendeza sana kwa kweli imagine ukimkuta uchi, I love manzuza na hivi yupo single sasa hivi daah.
Napendaga jinsi anavyotabasamu najiskia burudani sana..

Halafu siku moja alipelekewa moto, wakati wa yule pastor feki nkosi, walivyohamia kule store kanisani, alimpigia simu jamaa mmoja, akadai nipe nikupe,
Si akaenda mama huyu jamani dah. 😀
Shida mbaya sana wajameni.

Mabuza ulafi kupitiliza umemponza sana jembe langu, ndio maana tako haliishi yaani hata kutembea Kama winchi linavuta mzigo.
 
Mkuu fanya kujisogeza kwa Manzuza maana inaonekana umemzimia mazima 😄😄

Mabuza mlafi kweli yule jamaa yan limwili mpaka lina mlemea
 
Kiukweli, scene za jinsi ma ngcobo na mxolisi kumzika nkosinati zinaumiza sana, Nafikiri ni moja ya scene za kikatili zaidi nilizoona kwenye tamthilia
Je,ile scene ya Xulu kuwaambia Mngcobo na mxolisi wachimbe kaburi wajizike huku kawaangushia kipigo cha kufa mtu uliionaje?
Hili la Mangcobo na mxolisi kumzika Nkosinathi lilitokea kwa bahati mbaya,waliua bila kukusudia.Sasa kuogopa msala wa polisi ilibidi iwe hivyo!
 
Kwa hali ilipofikia Mangcopo Hana ujanja zaidi ya kumuua Mxolisi.Vinginevyo Kuna Kila dalili ya Mxolisi kufichua Siri ya mauaji ya Nkosinath!
 
Hawa watu nadhani ulaji wao wa nyama nyingi sana unachangia wawe na inye aka chura kubwa kubwa mpaka kero swala hili la chura naomba mnisamehe sitachoka kuliongelea.
Mangcobo akitembea utadhani mlemavu kumbe chura..
Mamlahmbo sasa.
Manzuza huyu manguo yake marefu ya heshima yanaficha tena huyu ndio limekaa vizuri zaidi I love it.

Sio tako la mabuza kwa sisi wanaume kuwa nalo halifai kwa kweli,
Mm Mamlahmbo ananivutia sana yule Dada kwa kweli dahh
 
The only way to keep the secret ni kumtoa mxo kwa manzuza. Au kumuua

Ila nimehuzunika sana manzuza alipokuwa analia anamtaka nkosinathi hata mxo mwenyewe ameumia sana kwa kweli kwa aliyofanya na hajapenda, naona yupo radhi arudi jela.

Nosi kaanza kumzimikia polisi mpya mondil nyiee 😀😀
 
jamani saivi naona ni mambo ya huzuni tuu, mi ntakua nafatilia mrejesho huku…mi mambo ya huzuni hayanivutii[emoji19]
 
Hivi hatuwezi kumshirikisha mtu wa ITV awe anatupia vipande humu vya kila siku kwa ajili ya watu ambao hawapati muda kuangaliia TV?
 
toka jumatatu sijaangalia hebu nipeni nondo kidogo wajameni
 
i wish kungekua na voice note am not good on typing [emoji19]
 
ila demu wako nosi hapana…yani anajipendekeza kwa mondi mpaka anaboa [emoji35]
 
Back
Top Bottom