Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Mkuu uliyetoa wazo la kumcheki mtu wa ITV una akili sana
Yaani wote tumekosa Week nzima hii
 
tunamcheki aje sasa[emoji3064] maana leo tena nimekosa
 
Nimeangalia marudio leo kuna mgeni anaitwa zakes inaonekana alienda jela ndio xulu aka takeover business ,mke

Jamaa alifukia pesa zake chini akaenda kuzifukua saivi ma ngcobo analiwa soon.

Nb wadada nyie vipi na huyu zakes hamchelewi kumnyapia 😀😀
 
Nimeangalia marudio leo kuna mgeni anaitwa zakes inaonekana alienda jela ndio xulu aka takeover business ,mke

Jamaa alifukia pesa zake chini akaenda kuzifukua saivi ma ngcobo analiwa soon.

Nb wadada nyie vipi na huyu zakes hamchelewi kumnyapia [emoji3][emoji3]
Mangcobo beki hazikabi kuliwa lazima
 
Hii kuacha kuweka brief humu kinachojiri Uzalo ni kwambo ubusy na sikukuu au jukwaa la siasa limeshika hatamu manake Kila siku matukio!
 
hivi hakuna hata mmoja aliyefuatilia jana au mlifichwa vifuani?

Sio powa wajameni eeh tupeni update wengine tuko mbali.
 
Ayanda kafukunzwa na maNzuza
Baada ya kuweka service memorial ya Nkos,mama anaamini mtoto yupo hai why wafanye vile,Mxo analetewa nguo mpya lkn anataka waongee kuhusu Ayanda but mama ake anajikausha
Ayanda sasa anaishi kanisani maNgoba amekuja na Ayanda kamwambia kama kafukuzwa na lindiwe kamwambia arudi home mlango upo wazi
 
Back
Top Bottom