Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

mh,inamaana mkuu there is no method that can be suitable to all?
Ni kweli ndio maana ni vizuri kumwona gyno for check up incase if you have any irregularities and then for advice. Nakumbuka enzi sindano za depo provera zinatua bongo wasichana wengi walizivamia kwasababu ilipromise 4 periods a year. Duh wengi wali suffer bleed kupotea kabisa na kuwa ngumu kushika mimba hata walipo acha matumizi. Dawa zingine zina sababisha early menopause na hata cancer especially ukiwa 35 yrs and above.
 

MUNGU AKUBARIKI,AKSANTE SANA.
 
Kalenda ndo njia salama na inayoaminika popote pale na usidanganyike eti huwa inabadilika mimi binafsi nakataa katu, kalenda ya mtu haibadiliki kamwe labda uwe na matatizo ya kiafya na ufuataji m'baya wa kanuni za afya kama lishe bora, mazoezi na mapumziko. ila njia nzuri ya uzazi wa mpango ni ya kalenda.
 
Calendar. Ndo mpango alafu ujue.siku za kushika mimba zipo chache.
 
Kuna mtu nimekutana nae alilazwa Kwa ajili ya tumbo akaambiwa kitanzi kimemchimba kizazi wamempiga masindano ya kutosha antibiotics wamemwambia pakipona wanamtoa. Na anadai ameweka Kama miezi mitatu tu
Sasa huyo aliweka cha miaka mi5 hajakaa hata mwezi kaenda kutoa
 
Achana na elimu za kitaa!muone mtoa huduma atakueleza njia zote zipo zaidi ya 10,zote zina faida na hasara pia na zinategemea na hali yako.nzuri kwangu inaweza kuwa mbaya' kwako hivyo tukigeneralize tutakosea.
 
Naomba kufahamu mbali na njia za kawaida za kupanga uzazi mfano condom na kalenda no njia ipi ambayo ni salama zaidi kati ya vidonge,Sindano,kitanzi,nanjiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…