Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Hii dawa ni kiboko, yaani ndani ya saa 1 kabla ya mechi inakuwa tayari imeshaua mamilioni ya mbegu zote hizo. Halafu waseme haina madhara. Waendelee kufanya utafiti mpaka 2025 ndo warudi tena.
 
Bora maana wanaume watapunguziwa mzigo wa kusingiziwa watoto.cku unajua unafanya mambo yetu Yale unakunywa tu half unatulia.
 
Siku hizi dudu kusimama ni shida mpaka waboost pombe kali na viagra, sasa ukianza huo mpango wa uzazi si tutakosa utamu!!!! Maana dudu hatasimama tena
 
Sidhani kama itapata wateja. Yaani dume zima na ndevu zangu nijipindee halafu nitoe povu tupu!?
 
Afadhali. Maana wadada wa siku hizi wakikuona mambo safi tu wanakulengeshea mimba
 
Hii si ndo itasababisha kukua kwa ugonjwa wa tezi dume jamani! siwezi tumia hata kama mke wangu atazaa j'mosi na j'pili.
 
Kwani kuzaa ni dhambi? wakamwambie Mungu aliyetuumba ndo anaweza kufunga kufuri na si wazungu,kama vipi waje nao tuwape dawa ili wakazaane kama wanaona wivu dhidi ya waafrika
 
afadhali na sisi sasa tupumzike cjui na mara vidonge,vijiti,vitanzi nk
 
141209122834_gendarusia_512x288_bbc_nocredit.jpg

Mmea wa Gendarusa ambao unasemekana kuzuia wanaume kuzaa

Wanasayansi wanadai kuwa dawa mpya iliyozinduliwa ya mpango wa uzazi kwa wanaume imefanikiwa kwa asilimia 99.

Dawa hio imetengezwa kutoka kwa mmea ujulikanao kama Gendarusa ambao wanaume wa kisiwa cha Papua wamekua wakitumia kujizuia kuwashikisha wake zao mimba.

Mmea huo unasemekana kuwa na madini ambayo yanatatiza uwezo wa mbegu za kiume kuzalisha kwa kuzimaliza nguvu na pia kuzifanya kutoweza kuingia katika mayai ya mwanamke.

Profesa Bambang Prajogo, mtafiti mkuu wa mradi huo anasema ana furaha sana kuripoti kwamba dawa hio itaanza kuuzwa mwaka 2016 baada ya miaka mingi ya utafiti na majaribio.

Ingawa dawa hio ya mpango wa uzazi kwa wanaume ina athari zake, kama vile wanaume kuongeza uzazi wanapoitumia wanasayansi wanaamini kuwa athari hizo ni ndogo sana ikilinganishwa na dawa zinazotumiwa na wanawake kwani hauthiri sana homoni zao.

Dawa hio inaweza kumezwa saa moja tu kabla ya tendo la ndoa. Lakini wazee wa jamii hio huchanganya dawa hio na chai na kuinywa dakika thelathini kabla ya tendo la ndoa

Hata hivyo wanaume wanaambiwa wasiwe na wasiwasi kwani wanapata uwezo wa kuzalisha tena siku thelathini baada ya kusitisha utumizi wa dawa yenyewe.chanzo.BBC
 
Huu mmea nafahamu upo hata hapa kwetu tz, japo kwa hali ya kawaida watafiti huanzia huko ughaibuni na kuleta matokeo kutokea huko huko, ila ukweli huu mmea upo hapa nchini.
Tena kuna mmea (majani) ambao jamaa yangu mmoja hv anatumia nutrition kutibu anawapa wamama kujikinga na mimba zisizo za lazima.
Ila ngoja nijifanyie utafiti mwenyewe na haya majani ya huu mmea tajwa hapo.
Bahati mbaya watu tuna hofu ya kuua mayai yasiwe baby, mbona kuna vidonge binti akihisi kuwa umemuachia manii na kuhisi ujauzito unaweza kuwemo ananunua hizo tables na kunywa in 72hrs after ejaculation no pregnant…!!.
 
Heri ya mwaka mpya wanajamvi, nakuja na uzi huu ambao unatatanisha sana hasa pale mtu unapoogopa kufanya mistake yoyote. Mimi na miaka mitatu kwenye ndoa na sasa nini mtoto mmoja mwenye miaka miwili toka mke wangu ajifungue tulikuwa tukitumia njia ya kalenda kama njia yetu kuu ya uzazi wa mpango ili kutopata mtoto bila kujipanga, ila ugumu unakuja hapa, mama watoto wangu anakuwa muoga sana na katika kipindi chote hiki cha miaka miwili amekuwa akiishi kwa wasiwasi sana akiogopa kupata mimba naomba kuuliza madactari mliomo humu na wazazi wenzangu je ni njia gani nzuri ambayo mke wangu anaweza tumia isiyo na side effect kwake. Naona huruma jinsi mke wangu anavykuwa na wasiwasi. Msadaa please anaejua hivi njia zote side effect everything they can mention below
 
Njia ya kalenda ndio njia ya uhakika isiyo na madhara yeyote yale kwake isipokuwa ni kuwa makini tu kuanzia siku ya 9 hadi 18 kwa uhakika zaidi, baada ya siku ya kwanza ya hedhi , hizo njia zingine anatafuta uvimbe kwenye mfuko wa uzazi na mengineyo.
Asishawishike na promition zinazo fanywa kwenye vyombo vya habar kuhusu hizo njia za vidonge na sindano hiyo ni sera ya european kwa nchi zetu hivyo madhara tunayo pata wao hayawahusu.
Nina ushahidi 100% dada angu hadi leo hashiki ujauzito baada ya mtoto wake wa kwanza mwenye miaka 6 sasa sababu ya hizo dawa. Na kesha fanyiwa upasuaji mara mbili kuondoa uvimbe tumboni na mimi nikiwa mmoja wa wauguzi hapa kwangu, na chanzo cha tatizo hilo tuliambiwa ni hizo njia za uzazi maana alikuwa mtumiaj haswaa!
Ingawa Dr. Aliniambia kwa siri sana kutokana na ukaribu wetu. Maana alinambia ikitokea dr. Ukamwambia mgonjwa ukweli kuhusu chanzo cha matatizo hayo na ukabainika lazima atakuwa na hali ngumu.
Tunatumia njia ya kalenda kwa miaka mitano sasa na imesaidia sana na tupo makini kwa hilo mimi na mke wangu.
Na kama nikizidiwa sana ndani ya siku za hatari bora nitumie njia ya ku withdraw ingawa nayo inahitaji umakini wa kuto jisahau .
ni hayo tu yangu mkuu.
 
Asante sana mkuu ila ngoma ya ku withdraw inaniwia ngumu pale tunapofika kwa pamoja. Na pia ukiwai kufika uka withdraw then ukaendelea si risk pia kwa yale mabaki ya sperms.
 
Kuwa makini na njia za uzazi wa mpango usikubali kutumia bila ushauri wa Daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama vinginevyo kuna contraception drugs zinasababisha Cancer za kizazi...

Mm nafikiri njia rahisi isiyo na madhara ni hiyo ya Calendar...hizi withdrawal si za uhakika....

Ila pia ukiogopa madhara ya dawa uwezi kuishi dunia hii kuna dawa hazina madhara makubwa kwa afya ya uzazi wa mwanamke na hizo ndo ningekushauri au nigemshauri mwenza wako atumie...

Naonaga wazazi wanaojifugua kwa njia ambazo zinawaitaji kumpuzika wanapewa Depo provera
 
hivi wapendwa hizo siku za hatari huwezi tumia condom kwa mkeo kuepuka risk yakuwithdral
 
Asante sana mkuu ila ngoma ya ku withdraw inaniwia ngumu pale tunapofika kwa pamoja. Na pia ukiwai kufika uka withdraw then ukaendelea si risk pia kwa yale mabaki ya sperms.

labda nkushauri kama alivyo sema mwaj waukweli kama utashibdwa kuvumilia hizo siku 8 basi bora ukatumia condom
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu ila ngoma ya ku withdraw inaniwia ngumu pale tunapofika kwa pamoja. Na pia ukiwai kufika uka withdraw then ukaendelea si risk pia kwa yale mabaki ya sperms.
kuchomoa dudu inaleta tabu sana,hasa mrembo anapokuwa kwenye harakati na kufika kileleni,nnakuwa nimemkatisha,vile vile mda mwingine unanogewa kwamba ntachomoa tu sekunde ijayo,kwa kweli binafsi hili jambo la uzazi wa mpango linanisumbua sana,daktari anakwambia hawezi kumshauri mtu atumie sindano/vidonge,anashauri kalenda ihusike,mtihani mwingine mrembo wangu hapendi kondom,inamuumiza na baada ya siku mbili anakojoa kwa maumivu.
 
Back
Top Bottom